Mara mia umshauri atumie.Laki kama tano, kutengeneza banda la genge , alafu aweke mboga mboga za kila aina, mafuta, sukari, mchele/, unga wa ngano., viungo vya mboga, n.k
Kama yupo sehem iliochangamka...kwasiku atakua analala na faida ya elfu 20-30 , kwa mauzo ya elfu 50--80 kwa siku.
Try it...!!!
"What is yours will always be yours no matter what "