Maamuzi

Kwahiyo wote 3 wanataka kuoa bila kutest

Una bahati ya mtende
mmoja ndo ametest wengine marafiki tunajuanaga toka tunasoma kwaiyo wananijua tabia ndani nje so kutest sidhan kama ni muhimu zaidi ya kutaka kuishi pamoja tu sahv
 
Tatizo mnataka malaika ndio maana hamuoi ila wanawake wapo kabisa tena wanojitambua.
Wengine wanasema wewe mkubwa sana wengine wazee ila wanaogopa ndoa sibure hujapata kwasababu nyingi tu ambazo mnajitakia.
 
Tatizo mnataka malaika ndio maana hamuoi ila wanawake wapo kabisa tena wanojitambua.
Wengine wanasema wewe mkubwa sana wengine wazee ila wanaogopa ndoa sibure hujapata kwasababu nyingi tu ambazo mnajitakia.
The problem is, we can't love them back. Its a process to fall in love, be in love and keep the love. Period
 
Kuna hatari ya kutokuja kuoa kama Hili litaendelea maana siwezi kuwa na mwanamke ambaye sina mafeeling nae except yale ya kugegeda
ohoo atakuja tu utakae kua na mafeeling nae..mda ndo jibu

Ila wenginee naonaga mwisho wa siku anaoa yoyote yule atakaekupenda kutokana na ugumu wa kumpata unayempenda
 
Never give up,atakuja hitaji la moyo wako
 
wapo wengi ila hamna aliyenvutia
Mabinti Wengi Wazuri Wenye Age Ya 18-20+ Huwa Wanakuaga Too Selective Kwenye Relationship.

Huwa Wanataka Wanaume Wenye Kufanana Nao Ma - handsome Na Wenye Mali,

Mwisho Wa Siku Hujikuta Wametembea Na Wanaume Wengi Lakini No! Ndoa. Wakifika Age Ya 30+

Hapa Utasikia Yoyote Anioe
 
Ni kweli mkuu chagua chagua ndo inatuponza kwa kujiona wazuri kumbe wazuri wengiii mwisho wa siku tunasema yoyote twende kazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…