Hii ni changamoto kwa vijana wote waliofikia mda wa kuoa na kuolewa ...hupati unayemtaka
Kikubwa ni kuomba Mungu
Unaguna nn .we umeshaoa?
Unaguna nn .we umeshaoa?
wapo wengi ila hamna aliyenvutiaKwahiyo ww umefika umri lkn wa kukuoa hujampata?!
wapo wengi ila hamna aliyenvutia
Kama watatu hivi wapo serious...me sichagui sana ila sijui nataka nnWanafikia wangapi?
Naww ndio wale mnataka mwanaume mrefu,maji ya kunde awe mfanyabiashara mwenye hofu ya Mungu
Mshirikishe Mungu,atakupa ubavu wakoKila kikicha naona maamuzi ya kutokuoa yanashika kasi kwa upande wangu,sababu inayopelelekea hivyo ni aina ya wanawake ninaokutana nao na aina ya wanawake ninaowataka/hitaji mimi inakuwa vice versa,na mm sipo tayari kuoa mwanamke kwa ajiri ya kautimiza pressure za wananzengo nataka itoke moyoni mwangu kabisaili mwanamke Huyo awe sehemu ya furaha ya maisha yangu! Swali lan.Je kuna mwanamume mwenye mtazamo/changamoto kama hii!? Umri wangu unakidhi vigezo vya kuingia katika ndoa.Mwisho wa kuwasilisha.
Kama watatu hivi wapo serious...me sichagui sana ila sijui nataka nn
Duuh balaa sanaa...Binafsi nilimpata dada mchangamfu nikaweka mikakati ya kuweka ndani,siku moja ananiambia kuna jambo tuongee kumbe ana mtoto.Kwakweli moto ulikata palepale
Sijatest kote..ntawezaje wote mimiSasa tatizo linatoka wapi kama mitambo umeshatest kote
Naona unataja sifa zakoWanafikia wangapi?
Naww ndio wale mnataka mwanaume mrefu,maji ya kunde awe mfanyabiashara mwenye hofu ya Mungu