Maamuzi yangu...

Mkuu talaka anapewa mzazi?..kwani mzazi ndo uliemuoa?

Ilitakiwa umpe talaka yeye mwenyewe na ajue kosa alilofanya...Sasa umetoroka TU

Ila pole Sana mkuu...hongera kwa kupata mahabuba wako...Mpendane muelewane wenye Kijiba waulizane.
talaka wanapewa wazazi kwasababu yeye kamchukua kutoka kwao

Salute me Again
 
huna koxa ungekuwa na hofu ya mungu usiweza kumkimbia mkeo wa ndoa. una den tena kubwa
 
Mwingine angetia nyumba na vilivyomo kibiriti.
 
rudia nyumba sasa.

ila ndo maana wanawake wanachomwa kwenye mkaa.
 
Nadhan wewe n mwanaume na nusu najua hyo hati siku moja italeta mambo
 
Ulifanya maamuzi mazuri na hongera
 
Mani i am sorry i am sorry sana

Take time yataisha some of us we have been there inachukua muda but believe me as how wounds za mwili zinapona the same applies to emotional wounds

You have us

Relax
 
Hiyo nyumba itakuwa imeshauzwa zamani au lah imebaki tu panya na majoka yanachezamo ndani
yaah ndio hivo anawezakuwa anajipa moyo tu siku moja atamkomoa kumbe ishakula kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…