Maamuzi ya TANESCO?

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,476
Reaction score
40,098
Huku ninapoishi kumekuwa na katizo la umeme since jana mpaka mda huu usiku haujarudi. Nimempigina injinia mmoja wa Tanesco amenihabarisha kuwa kuna upungufu mkubwa kwenye vyanzo vya umeme. Na siku chache zijazo kutakuwa total blackout.... lakini vyanzo vingine kutoka huko vinasema kuwa umeme siyo tatizo kama linavyokuzwa sasa ila kuna mpango na order kutoka juu kutengeneza upungufu wa lazima.......

Jamani nchi kukosa umeme ni maamuzi ya TANESCO au kuna mtu anatuhujumu?
What you think?
 
Inauma sana kuona tunatendewa kama watoto vile.
Miaka 50 ya uhuru bado umeme ni janga la kitaifa wakati tupo kwenye zama za teknolojia.....
Kura waibe na bado washindwe kudeliver tija.... aaargh!
 

Hawa jamaa vp? nao wanakubali kuendeshwa kisiasa?

wakati Mtera na Kihansi tunaambiwa maji yapo full mpaka wanataka kuyatapisha
 
tatizo ni kwamba we re talking too much. 5oyrs tangu uhuru! when still putting our a*s down. lets get up. look how the egyptian did, there are not poor like us but they demand more. we are fu**n poor still we dont act. non sense.
 
Hapo kwenye bluu......ili iweje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…