Maamuzi :"Probabilities" za Dr.Magufuli zaongeza ugumu wa "solutions".

article

Senior Member
Sep 10, 2016
184
344
1490435892473.jpg

"Probabilities" za kimahesabu ambazo ni "complex" ni miongini mwa hesabu zinazoweza kufanywa na watu wachache wenye upeo wa kipekee wa kiakili.

Hesabu hizi zinaweza kutumika kufanya mahesabu ya kubashiri kwa ufasanisi wa hali ya juu hasa kwenye hali ya sintofahamu inapojitokeza.

"Probabilities" zimekuwa zikitumia kufanya ubashiri wa masuala ya kifedha, kisanyansi na kisiasa matokea yake mengi yakiwa chanya.
1490436065522.jpg

Ni wakati wa mwafaka sasa kwa wataalamu wa hesabu kujitathmi upya na kuja na pendekezo la kisanyansi kuanalize variables za "Magufuli theory of improbabilities" kwa ajili ya kufanya maamuzi ya sahihi yasiotilia shaka.
1490435923614.jpg

Kwa kuwa Dr.Magufuli ni mwanamahesabu isiyetilia shaka inawezekana wachambuzi wa "improbabilities" zake wasiweze kufikia hitimisho sahihi kutokana na "variables" anazozitumia kwenye utawala wake kufikia maamuzi yasioeleweka kwa wasiomwelewa na kuwa "beyond of reach" wa "ordinary" ,"advanced mathematicians"na wanamahesabu wengineo.

Nampongeza kwa kutufikilisha na kuamsha akili zetu zilizokuwa "inactive" au "completely dead" kutokana mazoea ya kusolve "ordinary probabilities".Tunakushukuru kwa kutupa kazi na sasa ni kazi tu.

Nawakilisha,

Article.
 

Attachments

  • 1490436156052.jpg
    1490436156052.jpg
    17.4 KB · Views: 7
Back
Top Bottom