Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,733
ha ha ha familia iko powa haina shida kabisa mkuuWe mume wa mtu badala uhudumie ndoa sahz lkn hukauki jf kwa thread zisizo na kichwa wala mguu(nakutania lkn
Huyu jamaa mbona muda wote tupo nae kilabuni. Hiyo ndoa kafunga lini ?We mume wa mtu badala uhudumie ndoa sahz lkn hukauki jf kwa thread zisizo na kichwa wala mguu(nakutania lkn
Tatizo linakuja pale,anakuambia inamuelemea na atalazimika kuahirisha mwaka,na unavyojua hawa wenye miili mikubwa huwa zinawapa sana changamoto.Sijawahi kushiriki kwa namna yeyote ile kushawishi au kuhamasisha au kuwezesha mwanamke atoe mimba na sitojaribu kujihusisha na hilo, naomba Mungu anisimamie kwa hili
Anasemaga mwenyew kwenye coment zake kaoa na watoto 2Huyu jamaa mbona muda wote tupo nae kilabuni. Hiyo ndoa kafunga lini ?
ila jf watu wengi ni aged sana isipokuwa wachache sana sijui ni kwanini.
Abortion ni abortion tu isipokuwa kwa ushauri wa daktari kwa lengo la kuokoa maisha ya mamaTatizo linakuja pale,anakuambia inamuelemea na atalazimika kuahirisha mwaka,na unavyojua hawa wenye miili mikubwa huwa zinawapa sana changamoto.
Na mimi natamani anizalie,kwa sababu shepu imenichanganya ile mbayaMimi hamu yangu na raha ni kutia mimba kisha nilee mama na mtoto wake. Kuoa , hapana.
Ni kweli mkuuAbortion ni abortion tu isipokuwa kwa ushauri wa daktari kwa lengo la kuokoa maisha ya mama
Ni kweli mkuu ukiweza kupangilia vizuri mambo yako,hakuna shida chini ya juaAnasemaga mwenyew kwenye coment zake kaoa na watoto 2
Inaweza ikawa ni chai kama zilivyo chai nyingineAnasemaga mwenyew kwenye coment zake kaoa na watoto 2