Japo ni mgeeni kujiunga jf lakini nimekua nikisoma na kufatilia mada mbalimbali kama kuna watu special wanatakiwa kuwa ktk majukwaa flani wengine mchango wao hauitajiki au unaukosoa na kuleta ubaguzi BASI HAWAJAFANYA MAAMUZI MAGUMU na kama wameamua kujitenga bila sababu basi Wamefanya maamuzi magumu...usikasirike ni mtazamo tu