stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Turejee kunako sita kwa sita!!
Huu msemo Wa baadhi ya wenzetu humu jamvini au mtaani mwetu mtu kusema mwandani/ mpenzi wangu anajiweza sana tukiwa faragha;
Hivi kinachofanya mtu asemwe anajiweza au yupo vizuri uwanja Wa fundi selemara ni nini?
Je kwakua hapumziki hadi dakika90! Anajua katerero au ni nini? Naomba kuwasilisha
cc@evelyn Salt grafani na wengineo karibuni

Last edited by a moderator: