Maalum kwako Utafiti

Excel tupa kule. Yule alikuwa mchepuko wa njia ya vumbi wakati mie ni treni kudadadeki. Linapita njia kuu, hakuna cha indiketa kwakuwa mchapuko hauhusiki.

hahaaaah! we mzee huishiwi manenoo
 
Last edited by a moderator:
Niombee na mimi urafiki wangu na wako udumu daima, na mapenzi yangu na miss neddy yadumu milele.

hahahahaha nashangaa juzi ktma wamekusahau kukupa katuzo uko juu sekta yote unataka uimiliki wewe mapenzi yangu nawe ya msimu babu
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha nashangaa juzi ktma wamekusahau kukupa katuzo uko sekta yote unataka uimiliki wewe mapenzi yangu nawe ya msimu babu

Acha longolongo, kanianzishie thread bhana. Haujui mama yangu ni mwanamke kama wewe.....:loco:
 

hahhahaha unaonaje tukiandika kitabu cha visa motomoto siafu wanaokula koni hahaha navunja ukimya lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…