Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Take a deep breath.....wacha na mimi niseme 'amin'.....
Mekuja haraka ntaka kuona huyo utafiti kaandikiwa nini yakheee afadhali kuwa u r just friends maana huyo mkwe wangu ati lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Namba ngapi?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Tubadilishane, we kamata masai dada, mi nipatie hiyo kukucd (kama ni she). Inaelekea inajua sana kujali na kushukuru.
We mzee unazeeka vibaya unajua? Umeona wapi watu kubadilishana mke????
Nimekuvulia kofia. Mi nahaha kutongozea hapa jukwaani kumbe mwenzangu uko busy PM. Hakyamama we ni mbaya kama mfalme Mswati.
Na mimi ni friend kwako..sio?
Hahahhahahha ungejua me ata pm sijui unapanda basi la wapi, ivi kwani pm ni maeneo gani???
Mmmh utauweza ufriend ambao upo deep kama kina cha ziwa Tanganyika wewe?
Hiyo ni kifupisho cha Prime Minister, ukiitumia vizuri michuchu inajua imepata viza ya kuingia Ikulu. Kumbe imeingia kwenye mikono ya Zuma wa bongom utafiti. Hakyamama we ni jasiri kama Lukuvi.
kweli kabisa jiandae nami naweka hisia zangu juu yako soon
Niombee na mimi urafiki wangu na wako udumu daima, na mapenzi yangu na miss neddy yadumu milele.
Excel tupa kule. Yule alikuwa mchepuko wa njia ya vumbi wakati mie ni treni kudadadeki. Linapita njia kuu, hakuna cha indiketa kwakuwa mchapuko hauhusiki.Amina! kwani miss neddy kaachana na Excel?
Hahaha mkwe mbona unanitega????
Sijawahi kufika huo mtaa mkuu, labda unielekeze
Nna mashaka kama utarudi hapa kushow appreciation wewe ha ha haHahahaha kama weye huna rafiki niandike ata mie shoga ako lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mmmh utauweza ufriend ambao upo deep kama kina cha ziwa Tanganyika wewe?