Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Safi sana kukucd,,nawafurahia sana watu wanaoweka wazi hisia zao,lakini zaidi wale wanaoapriciate nafasi na uwepo wa mwenzie!!@Utafiti,,endelea kuwa rafiki mzuri
Tatizo kwao mbagarrra!
niko hapa niliaandika bonge la reply huku nikikutaja
mmh nikarudi kusoma juu nikakuta kasema friends nikafuta fasta maana mwwee ilikua reply yako na si mtoa mada
hahahahaha ungewekwa kizuizini leo mwenye mali yuko around tuwe care leo
leo tuwe makini sana
alafu leo utafiti haongei sana umenote hicho kitu??
nahisi hali ya hatari kutangazwa kuanzia sasa
leo tuwe makini sana
alafu leo utafiti haongei sana umenote hicho kitu??
nahisi hali ya hatari kutangazwa kuanzia sasa
hahahahahaha umeona eeeeeh afu katuvalia miwani ya mbao leo
Hahhahahaha masai dada huachi masiara...mbona naongea sana tu?
kuongea unaongea sana ila unaongea maneno ya heshima tu kama mzazi wako yupo humu
yaani leo umekaa kiheshima heshima kama paroko
Hamna bana sema leo wife yupo ndomana
Friend....😛hoto: