Luckman, you are not Lucky ever since you said ni kwa wanawake tu, kwa hiyo akina baba wote humu JF hawana mchango wowoteKuhusu hili? Ndio maana mkuu Nitonye "akajibu wewe bure kabisa" kwani umeonesha dharau ya hali ya juu mno.Jamani naomba msaada, nipo kwenye process za kukamilisha mpango wa wangu wa maisha, nataka kumuipress zaidi na kweli nampenda sana kutoka moyoni mwangu! lakini je, nini nifanye ajue kweli nampenda?gift gani nimpelekee, au nini zaidi nifanye ajue kuwa ni kweli nimedhamiria!
tafadhari msaada tutani!
mpeleke saloon, mkitoka hapo mpeleke boutique la ukwee then shopping zingine MLIMANI CITY mmalizie NEW AFRICA HOTEL au DAR SERENA HOTEL au JB BELMOUNT HOTEL kwa raha zenu hapo atajua unampenda kweli ni hayo tu.
Luckman, you are not Lucky ever since you said ni kwa wanawake tu, kwa hiyo akina baba wote humu JF hawana mchango wowoteKuhusu hili? Ndio maana mkuu Nitonye "akajibu wewe bure kabisa" kwani umeonesha dharau ya hali ya juu mno.
Haya Ciello inabidi nikuelewe japo kwa shingo upande.hahahahah mkuu Thanda hasira za nn?? jamaa kauliza wakina dada kwani ndo wahusika..so alitaka kupata maoni yetu kuwa tunataka nn!!! ninyi huwa mna-assume wanawake wanataka nn na hapo ndo huwa mnaenda chaka...he is asking the right persons so far
Haya Ciello inabidi nikuelewe japo kwa shingo upande.
Chezea wanawake wewe! ! Wana midomo mitano.
sijambo mpendwa,naona campaign za umiss zimepamba moto kidogo nikose haki yangu ya kupiga kura.
hivyo eeeh,mie nimestaafu bana..wacha na wengine washine!!!