Maalim Seif: Sikummaliza Jumbe

Maalim Seif: Sikummaliza Jumbe

Once a traitor, always a traitor.

Maalim Seif si mtu wa kumuamini kabisa, kama aliweza kupingana na mtu ambaye alipigania hoja ambayo naye alikuja kuibaka na kuifanya yake, basi si mtu wa kumuamini kabisa.

Wazanzibar wawe makini na mtu huyu.
 
Du!...Hii habari ya frontliners na liberators Zbar mi nilikuwa sijawai skia.. kuna mtu alishasema humu ' Hadi katiba ipatikane, tutashuhudia na kusikia mengi'
 
Mimi nadhani maelezo ya maalim yanajitosheleza. Sikuwahi kusikia habari hizi kbla. Ila nichukue nafasi hii kumuuliza jambo moja...hivi siku ya uhuru wa Zanzibar mbona hatuifahamu? Huadhimishwa lini? Au kupindua nchi ndio wakaondoa siku ya uhuru wakaweka ya kuadhimisha kupindua dola ya mwanzo?
 
ndugu yangu siku ya uhuru ipo ila na yearly inaadhimishwa znz tatizo ni liberators wachache ndio wasio taka kuiregulate as a national festival kwa chuki zao binafsi
swali jengine tafadhali
 
Nafikiri hoja zake zimetulia, labda atokee mwingine na hoja tofauti na hizo alizozitoa,
ambazo zimetulia zaidi, maana kama ni Mechi mpaka sasa Sharifu anaongoza
 
kati ya viongozi walioko Serikalini Maalim SEIF NI KIONGOZI MCHAPAKAZI, HODARI NA ASIEKUBALI KUUFYATA.
kuufyata maana yake unajua? kama hujui basi pitia hansad za bunge maalum la katiba utaona namna Asha bakari alivyofafanua kwa mifano.
 
revolutionary government imejaa ghilba na upatikanaji wake haukuwa kihalali hata mapinduzi yamejaa kizunguzungu
 
Hongera maalim kwa kutuwekea bayana tuhuma
Watu wengi walidai eti ulimsaliti jumbe ,kumbe alikuwa na hila dhidi yenu.kujihami kunakubalika hata kwa kuvunja kanuni
 
Hongera maalim kwa kutuwekea bayana tuhuma
Watu wengi walidai eti ulimsaliti jumbe ,kumbe alikuwa na hila dhidi yenu.kujihami kunakubalika hata kwa kuvunja kanuni

in war any means except mayhem to achieve victory is acceptable
 
Back
Top Bottom