Ndugu zangu Watanzania hiki kiswahili cha Dunia (English) kweli kinatutesa na hasa Viongozi wetu wakubwa wa kisiasa!
Na hii ni kutokana na tabia zetu za "kiswahili" za kutopenda kujisomea ! Viongozi wetu hawana "eloquency" ,viingereza vyao vikavu kuliko Ma- engineers waliohitimu kutoka vyuo vikuu vya Arabuni!
Nimefuatilia mahojiano ya Shaka Sali na Maalim Seif voice of America hivi punde,haeleweki ,hoja zake hazishikiki sababu ya lugha sijui!
Mfano amesema," people were given booklets to vote vote vote..! hivi katika uchaguzi kuna booklets!
Angepaswa kusema "electorates were given ballot papers to cast their votes repeatedly !
Ni aibu kwenye international political arena ku-vibrate with such a poor english! Ingekuwa ni interview ya kiswahili tungeona povu jingi kweli!!!
Mwisho napendekeza hata Bunge letu la Jamuhuri ya Muungano liendeshwe kwa lugha ya Kiingereza ili kuleta utulivu na kupunguza hoja za kipuuzi kutoka kwa baadhi ya Wabunge!