Moses Kyando
Member
- Mar 4, 2010
- 48
- 7
Kwa mujibu wa mahojiano yatakayorushwa Jumatatu na ITV, Maalimu Seif Sharif Hamad (Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar), amesema yuko tayari kujiunga na Chama Cha Mapinduzi, ikiwa tu atapewa nafasi ya Uenyekiti. Na kwa mujibu wake kwa sasa hakuna jambo la Msingi ambalo serikali ya CCM inafanya makosa.
My take:
Historia inajirudia mashaka yangu ipo siku chama kikuu cha upinzani bara, kitaanza kukiona CCM kizuri ilimradi tu kipewe nafasi serikalini

Usitake kupotosha watu Mkuu Moses maana hata sisi tumesikia.
Alichosema Maalim Seif ni kuwa "walinambia kuwa sasa tuna Serikali ya Umoja wa Kitaifa, si urudi tu CCM?. Mimi niliwambia labda niwe Mwenyekiti" Au words to that effect.
Sasa ho ni tofauti kabisa na unavyotaka watu waamini.
Nadhani humjui Maalim Seif wewe.
Hata kwa ulivyo andika wewe bado ujumbe ni ule ule kuwa katamka kuwa anaweza kurudi CCM. Every man has his price and he just named his. Sasa wewe sijui unataka watu waelewe vipi.
nitoke vipi!!! Wako kimadaraka zaidi. Mi nashauri wangempa uenyekiti, akihamia tu wanamnyang'anya tuone kama atarudi CUF.Tanzania hamna mpinzani wa kweli. Watu wapo kimaslahi zaidi. Hata FF akipewa position CDM anabadilisha kabisa mrengo wake!
ww ndio muongo alichoulizwa seif ni kama anaweza kurudi ccm, na akijibu kwamba kama atapewa uenyekiti.Usitake kupotosha watu Mkuu Moses maana hata sisi tumesikia.Alichosema Maalim Seif ni kuwa "walinambia kuwa sasa tuna Serikali ya Umoja wa Kitaifa, si urudi tu CCM?. Mimi niliwambia labda niwe Mwenyekiti" Au words to that effect.Sasa ho ni tofauti kabisa na unavyotaka watu waamini.Nadhani humjui Maalim Seif wewe.