Maalim Seif ni tatizo CUF

Kweli Seif ni tatizo kwani amekua akishinda siku zote lakini amekua mlaini sana kuwatuliza cuf kukubali wizi wa ccm. Hakika ni kweli kama sio seif tungekuwa tumeshaindosha ccm madarakani kwani tusungekubali suluhu ya Mzee Moyo kukubali kuibiwa
 
3.Watu wa lile kundi lililopigwa marufuku la Uamsho ambao pia wako ndani ya CUF wanasema kitendo Cha LOWASA kuwa mgombea uraisi wa Muungano na Duni haji kuwa mgombea mwenza ni sawa na kuweka BIBLIA juu ya QURAN wakati Qurani ndio inatakiwa ikae juu ya Biblia kwamba ilitakiwa Duni haji ndiye awe mgombea Uraisi na Lowassa awe mgombea mwenza wakasema kitendo alichofanya Seif si sahihi kwani angeongea kuwa Lowasa awe mgombea mwenza lowasa angekataa? Wanakilaani kitendo cha Seif kumkubalia mgalatia lowasa awe mgombea uraisii na kumtosa mwislamu mwenzie Ibrahimu Lipumba
 

Umesahau kumwambia anao mtaji wa watu since 1980s na unaongezeka kila kukicha uwa SS Hamad hachuji ata kidogo.
 
Seif ni mwinyi. Yaani ni dikteta na mbinafsi

Wana CUF hili tumelikubali kwa roho nyeupe na tumeridhika mno kuongozwa na dikteta na mbinafsi Maalim Seif Sharrif Hamad na mungu ampe maisha marefu na afya tele ili azidi kutuongoza.

Kama hili linakukera basi kanunue sumu ya panya unywe ili haya usiyaone tena.
 

Mkuu,
Hivi Watz tutayumbishwa na vijimambo mpaka lini?? Issue hapa si Lipumba kuondoka CUF, issue ni kwa nini kama yeye ni mzalendo kweli aondoke kipindi hiki kigumu namna hii. Tulitakiwa tuondoe u-mimi kwanza tuuweke u-taifa letu mbele.
Angesubirisha speed yake kidogo kwanza, uchaguzi upite. Nia yetu ni moja tu; Tuing'oe ccm madarakani. Mengine kama nani awe nani, nani apewe ruzuku gani hayo ni baadaye.
Kama hili moja tu hakuliona, sidhani hata kama atakuja na sababu kuubwa kiasi gani tutamsikiliza tena. Kachelewa huyo, treni ya Safari ya Mabadiliko nje ya ccm ishapita hiyo
 
Katika uchaguzi wa 2010, kete ya mwisho ya kumpa JK ushindi ilichezwa na Prof. Lipumba kwa kuwalaghai waislamu kuwa Dr. Slaa ni Padri hivyo Waislamu wamchague muislamu mwenzao. Lipumba akiwa katika msikiti wa Idrissa Kariakoo alikiri hivyo. Naona Kete hii inajaribishwa tena, kuwaghilibu Waislamu tena na kuwakosanisha na UKAWA. Ndugu zangu Waislamu, adui yetu mkubwa ni CCM. Msidanganyike. Simameni na UKAWA katika zamu kwa kuwa hakuna ukombozi wenu CCM ikiendelea kuwepo madarakani, na UKAWA ndo njia mujarab wa kuiondoa madarakani na inshallah kuwaletea ukombozi!

 
Maalim seif yuko imara sana.kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake lakini haimanishi mawazo ya kufikirika ni mawazo sahihi
 
Maalim sefu hongera tupo nawe daima kamwe huyumbishwi
 
Amedhalilisha uptof wake na hata siye alotufumdisha tumedhalilika sana
 
Maalim seif yuko imara sana.kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake lakini haimanishi mawazo ya kufikirika ni mawazo sahihi

Kweli maalim seif ni mkongwe wa siasa na anajua nini anafanya kwenye siasa
 

Inshaahlaaaaaa
 
Ni vyama vya makabila yote ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,lkn act ni chama cha waha.
Una uhakika au unabahatisha tu! Hicho tunachoambiwa ni cha wachaga mbona hukisemi au una gubu na Zitto?
 
Una uhakika au unabahatisha tu! Hicho tunachoambiwa ni cha wachaga mbona hukisemi au una gubu na Zitto?

Hizo ni nyimbo mlizofundishwa na ccm,hazina tena nafasi mkuu,cdm sasa hivi ina mchanganyiko wa makabira na dini toka jmt
 
kama lipumba amejiuzulu kwa sababu ya ruzuku basi hafai kuwa kiongozi na ni msaliti wa watanzaNIA wapenda mabadiliko ,kiterndo cha kujitoa katikati ya mchakatoni kusaliti ukawa,kwa sababu hizo sababu alizozitoa ni dhaifu na zingeweza kujadiliwa kwenye vikao usika,inaonyesha atakuwa amechukua mzigo ili kusaliti ukawa.
 
Una uhakika au unabahatisha tu! Hicho tunachoambiwa ni cha wachaga mbona hukisemi au una gubu na Zitto?

Inabidi ujue kuwa mimi siwezi kuwa na gubu na dogo zzk,kwani ni mtu mdogo sana,cdm ni taasisi kubwa sana huwezi kulinganisha na zzk anayezomewa kila anapoenda kufanya mikutano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…