Maalim Seif ni tatizo CUF

Professor kasema UKAWA mbona hamueleweki. Ndiyo walewale
 
Lipumba kapewa nafasi ya kugombea tangia 1995 kachemka,ata sasa alitaka yeye ndiye awe mgombea !!alivyopitishwa EL kama yule mwingine akasusa.SS Ahamad si tatizo ata kidogo

Hata maalim Seif kagombea tangu 1995.
 
Bora akaenayo moyoni mwake tu, hakuna wakumsikiliza yeye kwa sasa, wengi tunamuona Lipumba kama msaliti pandikizi la CCM.
 

Haya unayajuwa?

Watch "Prof. Lipumba akiwa Msikitini na Siasa za Tanzania" on YouTube - https://youtu.be/ujwfFUUAD70
 

Usiende mbali, angalia na isikilize video hii kwa makini utapata jibu pana zaidi.

Watch "Prof. Lipumba akiwa Msikitini na Siasa za Tanzania" on YouTube - https://youtu.be/ujwfFUUAD70
 
Jambo usilolijua ni vyema uwe kimya tu utazame nankusikiza wengine wakiongea...

Hebu tafuta mawaidha ya Prof. Lipumba aliokuwa akiwaaminisha waumini wenzake juu ya yeye kuwa rais ajaye...

Sasa dili lake lote limezingua hivyo kaamua kuinusuru nafsi yake...

 

Orodha ya wasaliti kwenye siasa kutoka Kigoma; 1.Daniel Nsanzugwako 2.Dr Amani Warid Kaborou 3.David Kafulila 4.ZITTO ZUBERI KABWE 5.Moses Machali(HAO NI KWA UCHACHE) Orodha ya Wasaliti kwenye michezo kutoka Kigoma; 1.Juma Kaseja 2.Naseeb Abdul(Diamond) NA HAO KWA UCHACHE! Unategemea nini kutoka kwa Vibaraka na wasaliti wa Kigoma!?
 
Mta maliza ela za gadafi bila kuzifanyia cha maana ndio laana ya ela za wizi zinaisha bila wewe kujua
 
haa haa mpango wa sasa ni kuiondoa kwanza ccm.mengine baadae..
mbona sasa inakula kwenu. ukawa ni mkorogo wapo nyumbu wa kusaka malisho na wendawazimu wa imani ya dini uamsho. wenye misimamo ya hoja na sera wanaingia mitini.
 
haa haa mpango wa sasa ni kuiondoa kwanza ccm.mengine baadae..
mbona sasa inakula kwenu. ukawa ni mkorogo hatari, wapo nyumbu wa kusaka malisho na wendawazimu wa imani ya dini uamsho. wenye misimamo ya hoja na sera wanaingia mitini.
 
Prof.lipumba alipiga diri la pessa na ccm 2010 kuhujumu upinzani kusaidia ccm kushinda, na 2015 amepiga diri ndefu ya pesa sasa kakimbia kabisa nchi
 
mbona sasa inakula kwenu. ukawa ni mkorogo wapo nyumbu wa kusaka malisho na wendawazimu wa imani ya dini uamsho. wenye misimamo ya hoja na sera wanaingia mitini.

mbinu za ccm zinafeli kabla hazijaanza. Hii nayo chali.
 

Atafute wapi mkuu wakati nimemtafunia yeye ameze tu?

Amsikilize hapa Lipumba.

Watch "Prof. Lipumba akiwa Msikitini na Siasa za Tanzania" on YouTube - https://youtu.be/ujwfFUUAD70
 
mkigoma,na ile clip inayoonyesha Lipumba akikili kumsaidia Kikwete kushinda uchaguzi 2010 kwa hoja ya udini ni Seif??!!

Wewe kada wa CCM unayefanya kazi ACT,mambo ya ndani ya CUF umeyajuaje??!!

Nilitaraji useme 17 august mnamtangaza Lipumba kuwa mgombea uraisi wa ACT kwa hisani ya CCM na vibaraka wake!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…