Maalim seif kuzindua kampeni za CUF igunga.

Maalim seif kuzindua kampeni za CUF igunga.

Kumbukeni Kauli mbiu za kila Chama. Naamini vitasimamia hizo kauli mbiu zao


OPERATION Lolote liw....-CUF (Hata tukikosa hakuna shaka, mladi tumeshiriki uchaguzi)
OPERESHENI TETEA IGUNGA -CCM (Tunataka tena jamani hamuoni maendeleo tuliyoyaleta)
OPERATION CHUKUA IGUNGA-CDM (Tupeni nasi, tuwaletee maendeleo ya kweli)

Acha uongo CUF ni OPARESHENI CHAGUA MAHONA(kati ya wagombea wote MAHONA ndiye atakayekuwa mbunge)
 
sharif ni mwanasiasa pekee aliyebaki baada ya nyerere ana ni kisima cha busara na hekima na mwenye upeo mkubwa wa kuona mbali.
<br />
<br />
nadhani unakosea, usitujumuishe kwenye ubovu wa akili yako kushindwa ku-reason criticaly na ku-admit seif anakuzidi, mbona mwanangu anamzidi huyo sefu wako!
 
uelewa wa siasa wa wafuasi wa chadema ni mdogo sana, unajua wengi wameingia kwenye siasa wakati wa uchaguzi mwaka 2010 baada ya kuelekezwa kanisani waunge mkono chadema basi wanatusumbua kwa umbumbumbu wao, sisi cuf tutawaelimisha hii ndio kazi yetu.
 
Mwacheni azindue hata mkapa muacheni: ujumbe utafika bila chenga nashukuru sana cdm wako very strategic ktk hili mtaona wenyewe hamna haja ya kuingilia na polisi isiingilie hata kidoogo na takukuru iwepo kudhibiti wizi na rushwa na wananchi wawepo kusikiliza sera za ukweli kutoka kwa watu wa ukweli
 
Back
Top Bottom