Maalim seif kesho hapatoshi pemba

mrelbattawy

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
564
Reaction score
112
Kesho wana-mkataba kama kawaida watakuwa kwenye viwanja vya masota pemba, hturudi nyuma mpaka mamlaka kamili ya zanzbar yanapatina.
 
Hana lolote sana sana atabakia na siasa za kuwadanganya wastu wasizidi 1,000,000.
 
safi sana. namuaminia maalim seif, wacha watanganyika wakatae Tanganyika yao kwetu sisi Zanzibar is everything.
 
Wakati Alhaji Jumbe akitaka Zanzbar huru, maalim Seif alimsaliti, Leo hii anataka nini. Jamaa amefirisika kisiasa na mpenda madaraka. Natamani Tanganyika, lakini Seif ni CCM wa kudumu
 
Waombe kuvunja Muungano tu, maana hizi kelele za kila siku wanatuchosha bure.
 
haa haaa

amesubiri mpaka Obama aondoke ndiyo aanze kubweka
 
Mkitaka ukombozi wa kweli ing'oeni ccm vinginevyo mtaburuzwa na kukosa elimu kama kawaida(mfano wewe hata uandishi wako tu_communication skillsnunaonesha ulikimbia shule)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huyu jamaa ni mjanja sana wanachama wa cuf wmuangalie kwa makini mnamkumbuka mapalala
 
Mkitaka ukombozi wa kweli ing'oeni ccm vinginevyo mtaburuzwa na kukosa elimu kama kawaida(mfano wewe hata uandishi wako tu_communication skillsnunaonesha ulikimbia shule)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ujumbe umefika nynyi ndo tanganyika msiojuwa identity yenu.
 
CD ya mamlaka kamili ya Zanzibar ishachuja..tumeizoea sasa,wala haivutii tena!
Endeleeni kupiga kelele humu kwenye mitandao,mkichoka mtanyamaza!maana kama ni njia za kuuvunja muungano mlishaambiwa siku nyingi,mmebaki tu kupiga kelele!TUSHAWAZOEA MJUE!
 
issue ya Uliberali vp??
Kwenye Msosi pale ikulu ulimuona alivyomsogelea Obama ? yaani alimpiku hata Salim A. Salim
naona angeruhusiwa kutoa neno angeweka la Uliberali
Mimi huyu jamaa simuamini hata kidogo toka alipomsaliti Abdul Jumbe, hata akipewa kura ngapi za Urais ataziuza tu
 
Hana lolote sana sana atabakia na siasa za kuwadanganya wastu wasizidi 1,000,000.

Katiba inatetea mpaka mtu mmoja mmoja. Au katiba yetu ni bosheni tu? Japo inafahamika chama fulani hakiangalii maantiki ya mambo bali huhonga na kusikilizia ndiooooooooooooooooooooooooooo. Hoja imepita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…