Ndoa sasa itakuwa ndoano sikujua kama chadema ndiyo alikuwa mke na cuf ndiyo mume au vinginevyo.Sasa ngoma imeingia patamu. Sijui CHADEMA watakuja na lipi la kutueleza
Ndoa ya mkeka imebuma
Maalim seif mjanja, inaitwa ngastukaa, hakuna kumtumia mwanaume mwenzio km ile mipira
Msimamo mzuri ndugu yangu Maalim Seif mpenda madaraka sema umeongea point za msingi chadema walikuwa hawapendi cuf na wanasema cuf ni chama cha zanzibar kwahiyo sio chama cha tanzania cuf imefunga ndoa na ccm matusi mingi sana leo mnataka support ya cuf?huyu Maalim Seif I used to like him before lakini nilikuja kugundua kama anapenda madaraka tu sio kama yupo kwa maslahi ya wazanzibar iwezekani miaka yote yeye tu ndie anataka kugombea Urais kama hakuna watu wengine tafakari
Ngoma bado mbichi huyo ndiyo maalim nadhani wazanzibar wamemsuta kuungana na makfir chadema ingekuwa ni kuitukana zanzibar.