Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Baraza kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi(CUF) leo limemvua, Maalim Seif nafasi ya Ukatibu Mkuu na kumpa Magdalena Sakaya.
Hapa kua CUF inayofuata nyayo za CDM na CUF inayofuata nyayo za CCM. Sijui kama watavuka salama kama hawatokaa mezani na kuondoa tofauti zao. Wapo mahakamani wanarumbana lakini mahakama hazitosaidia bali ndo zitazidi kuwanyong'onyeza.Ndani ya CUf kwa sasa kinachokuja kutokea ni kifo cha Chama kwasababu wanalazimika kuongozwa na akili za Chama kingine
ulikuwa umebana kona gani mkuu..au ndo ninyi kina mtembea bure si sawa na mkaa bure unaweza kuokota hata jero barabarani ukanywa maji ya kandoro...hii cuf imeshakufa kabisa kwasababu ya kupokea order za pale ikulu,, juzi nimemuona huyo prof akiwa hapa magogoni ila sikujua kama walikuja kujadiliana swala hili
Dah sasa kwanni kina maalim wasivunje chama pia chadema wavunje also ACT tuunde chama kimoja kikubwa sana cha upinzani tufumue mambo ya vyama hay tuwe wamoja tukienda hivi tumegawanyika 2020 cuf itasimamisha lipumba unakuta act inamuweka zitto then chadema lisu sijui kura zinapukutika na majimbo tutapoteza mengi sana.
Nakubaliana na wewe lakini mtu kama Maalim naye alikuwa na nafasi kubwa San aya ushawishi hasa kule Zanzbar npata Mashaka na SakayaHapa kua CUF inayofuata nyayo za CDM na CUF inayofuata nyayo za CCM. Sijui kama watavuka salama kama hawatokaa mezani na kuondoa tofauti zao. Wapo mahakamani wanarumbana lakini mahakama hazitosaidia bali ndo zitazidi kuwanyong'onyeza.