Maalim Seif amvaa IGP

Akamalizane na msajili uliambiwa wanadaiana,vikao halali vya chama vinajulikana,na vikao vya wahuni pia vinajulikana,muhuni aliendoka kwa hiari yake Leo anataka kurudi kwa kutumia uhuni wake alafu eti aachwe kwa lipi.
 
Kama naumuona prof Pumba ....kesho mkikimkiki jazz band

Band
 
Mungu mbariki Maalim Seif
 
Mungu mbariki Maalim Seif
mulidai yamekwisha,huyo mnyamwez mtahangaika nae sana,ndio mtapojua nini maana ya mzigo mzito mpe mnyamwez,kahangaika wee kuijenga cuf bara leo mnataka kuwauzia wafuga ng'ombe wa kaskazini!
 
Akamalizane na msajili uliambiwa wanadaiana,vikao halali vya chama vinajulikana,na vikao vya wahuni pia vinajulikana

Kikao halali ni kile ambacho kinatambuliwa kisheria na pia kinatambuliwa na msajili.Huwezi kukusanya tu watu ukasema hiki ni kikao halali eti kwa kuwa tu mmekusanyika.Msajili wa vyama kasema Lipumba kwa mujibu wa sheria ni mwenyekiti sio kwa mujibu wa vikao vyenu okoteza !!!!! Kama mnabisha nendeni mahakamani kwanza mkamalizane na mahakama ambayo itasema hicho mlichofanya kama kilikuwa kikao cha chama au kikao cha send off au kitchen party na pia kama Lipumba ni mwenyekiti au la kwa mujibu wa sheria sio kwa mujibu wa vikao koko mlivyofanya.
 
Kweli nime Amini, Huyu Le Proffeseri ni msomi wa hali ya juu mbooh, yaani hawa kina Maalim badala ya kufuata sheria kum tii kiongozi wao wao wana taka Kupindua? !!
Hapana hai kubalika,
 
aende huko kwani amekuambia anaenda sajiri chama mgogoro wa ndani ya chama hautatuliwi na msajili unatatuliwa na mahakama pekee lipumba kafanya makosa ya jinai kuvunja na kupiga kuandamana na kufanya mkusanyiko pamoja na kufanya mkutano wa kisiasa ambao umekatazwa na polisi sasa hapo msajiri anahusikaje
 
Tunaomba Ufafanue Kauli yako. Ni kwa vipi polisi wanatumika? wanatumika katika mambo/masuala gani na wanatumiwa na nani na kwa faida ya nani? Nomba ufafanue ili nikuelewe maana umesema "polisi wanatumika"..
Polisi ni tawi la CCM wanapokeya maagizo kutoka CCM
 
Ifike kipindi Lipumba aone aibu na yeye.

Maana anadhalilisha wasomi pamoja na familia yake.
 
Lipumba akigoma kuachia ofisi mahakama itamn'ngoa tu..maana hakuna namna tena

We ushakuwa mahakama naona ushaandika hata hukumu itakavyokuwa wakati hata kesi haijaenda mahakamani.Mwanasheria koko wewe unatisha na umebobea kwa sheria koko!!
 
We ushakuwa mahakama naona ushaandika hata hukumu itakavyokuwa wakati hata kesi haijaenda mahakamani.Mwanasheria koko wewe unatisha kwasheria koko!!

Jinga la karne wewe..inaonekana hata kilichomvua uanachama la professor hukijui..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…