Maalim Seif alishinda – Zitto

huyu mwarabu jussa atakuwa anatumiwa tu! Tena wanaomtumia ni ukoo wa sultani wa zanzibar enzi hizo. Enyi wazanzibari wa zppp. Hawa wa asp na mahizbu (hizbollah) watawamaliza
 
Zitto hana mamlaka yoyote kisheria kutangaza sio tu rais bali hata diwani au mwenyekiti wa kijiji au kitongoji.



Mwanye mamlaka ya kutangaza matokeo ya rais ni mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi.

Aliyotoa hapo ni maoni yake tu.
 
Mkuu vipi Zitto ana kauli gani juu ya uchaguzi wa JmT wa mwaka 2010z
Zitto amekua na msimamo tofauti akiamini kuwa mwaka 2010 Chadema ilishindwa kihalali,hasa amekua ana hoji kama tuliibiwa kura ni kura ngapi? Jambo ambalo viongozi wakuu wa Chadema wamekosa majibu!
 
Zitto anamzungumzia Maalim Seif aliyekuwa miaka yote anagombea kutembea na king'ora kwa msafara ili aonekane naye anamadaraka na aweze kula vizuri kama walioko madarakani kwa mgongo wa wazanzibar au kuna Maalim Seif mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom