Maalim Seif aliponguruma Meli nne

Maalim Seif aliponguruma Meli nne

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
858
Reaction score
131
kw1.JPG
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachama na wapenzi wa Chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magirisi Melinne, jimbo la Mwanakwerekwe.
kw2.JPG
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachama na wapenzi wa Chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magirisi Melinne, jimbo la Mwanakwerekwe.
kw3.JPG
Wafuasi na wapenzi wa CUF wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magirisi Melinne, jimbo la Mwanakwerekwe
kw4.JPG
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akikabidhi kadi kwa wanachama wapya walioamua kujiunga na Chama hicho huko viwanja vya Magirisi Melinne, jimbo la Mwanakwerekwe
kw5.JPG


​
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Hamad Massoud Hamad akizungumza na wanachama na wapenzi wa Chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magirisi Melinne, jimbo la Mwanakwerekwe. (Picha na Salmin Said, OMKR)

Imewekwa na MAPARA
Chanzo zanzinews
 
"Watu wengine wakiwa na midevu wanajiita Mashehe!Hivi kama ndevu ni Ushehe Beberu angekuwa Mufti-By Katibu wa Ccm Zanzibar."Huu usemi huwa naupenda sana naona jamaa kaamua kunyoa ndevu ili ahalalishe nafasi yake katika ndoa yao na Ccm A.
 
Chechea CUF weweeeeeee! Nyinyi pikeni majungu yenu lakini ukweli daima unajuilikana hata kama utaamua kuufunika kwa PROPAGANDA. Na ukweli ni kwamba CUF ndicho chama pekee cha kitaifa ndani ya Tanzania ambacho kina Viti sehemu yote Jamhuri. Tanzania Bara, Zanzibar (Unguja na Pemba. Hebu niambie ni chama gani chengine kina viti sehemu zote hizooo?
 
"Watu wengine wakiwa na midevu wanajiita Mashehe!Hivi kama ndevu ni Ushehe Beberu angekuwa Mufti-By Katibu wa Ccm Zanzibar."Huu usemi huwa naupenda sana naona jamaa kaamua kunyoa ndevu ili ahalalishe nafasi yake katika ndoa yao na Ccm A.

Hoja hujibiwa kwa hoja usiwe na akili za Samaki. Propaganda zenu CHADEMA zinajuilika na Wazanzibari tunawachukulia nyinyi kama 'WABOLE'.
 
Back
Top Bottom