MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiache lugha za upotoshaji kuwa Chama cha Wananchi (CUF) siyo chama cha upinzani, bali ni sehemu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alisema lugha hizo za Chadema ni upotoshaji kwa jamii na kutowatakia mema Wazanzibari, huku akisisitiza kwamba kufanya kazi pamoja baina ya vyama hivyo viwili, siyo mwanzo, bali ni mwendelezo kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo
Maalim Seif alisema Chadema haiitakii mema Zanzibar, bali wanachotaka wao jamii iendelee kuuana.
zaidi hapa HabariLeo | Maalim Seif aishukia Chadema
My Take:
Hivi CUF hawana kitu cha kuwaambia wanachama na wapenzi wao zaidi ya mambo ya Chadema? Maalim Seif tunajua unaufaidi umakamu wa Rais na ndio maana umeamua chama kife bora wewe umakamu unao.
Tunakuomba utatue migogoro ndani ya chama badala ya kila siku kuzungumzia chadema. Na uache kumtumia Hamad Rashid Mabaunsa kumuharibia mikutano yake. Enzi zako kama zimekwisha vile. Hakuna Ngangari tena.
Astaghafirulah! We mtoto mbona una kibri hivyo?Yule mdini Hamadi Rashid ndiye anayevuruga chama
Kwani hujui ile deen yetu inafundisha nini?Kwanini anaingia ofisini bila viatu mara nyingi
Ile 'deen' yetu inatufundisha wadini kama ww na wenzio tuwaepuke kama ukoma eeenh?Kwani hujui ile deen yetu inafundisha nini?
hivi wewe unauchizi? au unaishi dunia gani? Je ni uongo kwamba chadema hawawasemi CUF? Narudia tena, bila shaka wewe utakuwa taahira au hivi karibuni utakuwa. Na kwa taarifa yako Seif yupo Kizanzibari zaidi ya hiyo cuf na ccm. Hamadi rashidi yupo kiccm na kicuf zaidi. those are two different pipos. Mark my words.MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiache lugha za upotoshaji kuwa Chama cha Wananchi (CUF) siyo chama cha upinzani, bali ni sehemu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).