wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 554
kila mara wafuasi wa upinzani wanaambiwa hivyo vyama vimeanzishwa kwa lengo la kujinufaisha wao kwa maslahi yao hawasikii.
sasa leo jipya wanaendelea kudanganywa eti watulie mambo mazuri yanakuja.
kila mfuasi wa CUF utasikia eti CCM na serikali yake mtakoma mtafutiwa misaada kwa wahisani.
ukirudi kabla ya marudio ya uchaguzi kulikuwa na mazungumzo ya muafaka kuna hoja zilikuja kwanini seif anaenda peke yake? ilihali CCM yenye demokrasia wanakuwa wengi? jibu tosholeza kabisa CUF ni chama chake seif, sisi huku ni wapayukaji tu.