Maajabu yatokea Tanzania

Ni kweli aina aja ya kuwa na mawazir mizigo coz hta bajeti uwa wanatengenezewa na mawazir
 

Na ni rais wa kwanza Africa wananchi wake wanaofuatilia hatua kwa hatua nukta kwa nukta serikali yake toka aingie madarakani haijawahi tokea.
 
Ila ujue muhimbili is a national hospital final referral country wide
 
Mm naona atoke ccm awe rais huru bila ya chama atafanya vizuri zaidi kweli nimeamini jina la john wana akili sana
 
Kweli mkuu na hili linazihilisha kwamba watu kutoka kanda ya ziwa ni hatari sana cjui ni kwasababu ya kula sato na dagaa wasio Wa chumvi like nyerere
 
Tuiweke kwa namna hii. Rais wa kwanza kupingwa na chama chake kilichompigia kampeni na kukubaliwa na chama cha upinzani kilichosimama kumpinga kwenye upigaji kura.

Selema selema ... alija ..!

umenena......
 
Ni rais wa kwanza kutekeleza katiba ya warioba ndani ya siku moja eg. kupunguz mawaziri
 
Aina = haina
Aja = haja
Uwa = huwa

Siku hizi kiswahili kibovu namna hii kimeanza kukubalika! Nashangaa hata watu wakubwa na wanaoheshimika wanaongea na kuandika namna hiyo!! Na hicho ni kiswahili cha shule ya msingi kabisa laknini watu kimewashinda!!! Ujumbe wa simu kutoka kwa watu wengi...wanaita njumbe au jumbe!! Tena kwenye vyombo vya habari!!!
 
Kwani mawaziri kitu gain? Hata kikwe alikuwa anaponzwa na mawaziri wake
 
kikwete katuzalilisha sana cc waislam na watu wa pwani.tunaonekana wote hamna kitu kabsa kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…