Maajabu ya Wapinzani: Wanadai NEC huru lakini wanamtaka Magufuli aingilie ZEC!

F9T

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,674
4,942
haya ndo maajabu ya upinzani wa tanzania, wanalilia tume huru ya uchaguzi (NEC), wakati huo huo wanamtaka rais magufuli aingilie tume ya uchaguzi zanzibar (ZEC), duuh yaan ni sawa na kutoa sifuri na kuingiza zero. wapinzan wa tanzania kumbe nao ni jipu
 
Achana nao hao wanadhani nchi inaendeshwa kwa kupiga kelele. Uongozi wa nchi ni katiba, rais anaongoza nchi kwa kufuata katiba na si kwa mihemuko ya upinzani.
 
Kwa taarifa yako JPM,JMK,BWM na AHM walikwisha ingilia maamuzi ya ZEC tokea awali baada ya Jecha S.Jecha kufuta uchaguzi na kutangaza mwingine.Wapinzani wapo sahihi maana Amiri Jeshi Mkuu anaweza kuingilia kati kuhakikisha amani inatawala.
 
Raisi kasema vema kuwa sitaingilia abadani..! Na akashauri anayeona hajaelewa akatafute ufafanuzi wa kisheria juu ya jambo hili mahakamani.! Hii ndio maana halisi ya 'utawala unaofata sheria'. Sasa unataka Raisi wa namna gani?Kilio cha kumtaka aingilie kati tuwaachie wenye uelewa haba...!wanajijua1
 
Miaka yote hii watu wamalalamikia CCM...Lakini sehemu kubwa ya madudu ya CCM yamesababishwa na upinzani dhaifu....Wapinzani wa bongo wamejaa double-standard...ukisikiliza statements za viongozi wao ni 'self-contradicting'...
 
haya ndo maajabu ya upinzani wa tanzania, wanalilia tume huru ya uchaguzi (NEC), wakati huo huo wanamtaka rais magufuli aingilie tume ya uchaguzi zanzibar (ZEC), duuh yaan ni sawa na kutoa sifuri na kuingiza zero. wapinzan wa tanzania kumbe nao ni jipu
Tatizo wapinzani wetu waganga njaa tu, wanayoyaongea wanatata wapewe chochote toka ccm au serikalini wakisahau kuwa hizi ni nyakati zingine kiutawalawa. Waendelee kupewa na mabalozi wa ulaya kila siku kama watafika kokote.
 
  • Thanks
Reactions: F9T
haya ndo maajabu ya upinzani wa tanzania, wanalilia tume huru ya uchaguzi (NEC), wakati huo huo wanamtaka rais magufuli aingilie tume ya uchaguzi zanzibar (ZEC), duuh yaan ni sawa na kutoa sifuri na kuingiza zero. wapinzan wa tanzania kumbe nao ni jipu
Hapo ndio ujue wapinzani wa nchi hii wengi wao madish yameyumba!
 
  • Thanks
Reactions: F9T
Sheria ikivunjwa kwa manufaa yako uingilii, lakini ikiwa kinyume chake unaingilia. Natural justice!
 
  • Thanks
Reactions: F9T
hakuna uhuru usio na mipaka Maamuzi yaliyochukuliwa si yakufumbiwa macho na mtu yyte timamu. Waangalizi waseme uchaguzi ulikuwa huru na wa haki alafu mtu aje kuleta ndogo zake kisa ni tume huru ndoafanye atakavyo?
 
Back
Top Bottom