Mkuu kuna wanyama wengine nafikiri unawazungumzia.Na kweli wana ndimi mbili mkuu..
Manaake kwa kupitia mdomo wa kuongelea na kulia chakula wanaweza kui suck dudu.
Na kwa kupitia mdomo wa chini pia wana suck dudu..
Hawa nyoka hawa wameumbwa kwa aina yake,
Mkuu kuna wanyama wengine nafikiri unawazungumzia.
Mkuu na ninaomba kuhusu hii hapa chiniWakuu tujuzane na kuhabarishana hapa maajabu ya wanyama mbalimbali.
Kwanini nyoka ana ndimi mbili? Nyoka na wanyama kama kenge huwa na ndimi zilizogawanyika. Ndimi zile huwasaidia kujua lindo lilipo. Wanyama hawa hutumia ndimi kugundua kemikali zilizopo hewani ambazo huonyesha uwepo wa windo. Wakisense kemikali nyingi kwenye ulimi wa kushoto basi wanajua lindo lipo kushoto. Wakisense nyingi kulia basi lipo kulia. Wanatoa ulimi na kuuingiza ndani ili kusafisha kemikali za zamani na kuwa fresh kusense mpya. Kumbe ndimi mbili za nyoka siyo sababu ya unoko!!.
View attachment 984384
Kwanini bata wakizaliwa tu wanaanza kumfuata mama yao?. Hii kitu inaitwa imprinting. Bata wanapototolewa tu kiumbe cha kwanza kukiona basi wanajua ni jamii yao na kuanza kukifuata. Kwa sababu wakitotolewa kiumbe cha kwanza kukiona huwa ni mama bata basi ndiyo maana hufuata mama yao. Lakini ikitokea wametotolewa na kiumbe cha kwanza kukiona ni binadamu au kiumbe kingine badi hufuata hicho. Hata mama bata akitokea baadaye hawawezi kumfuata. Wanakuwa wanajiaminisha kichwani kuwa wao ni binadamu. Hata binadamu huwa tunatabia ya kuamini sana vitu vya kwanza kuanza kutumia.
View attachment 984405View attachment 984406
Na kuna watu wanamuiga.....Konokono ni kiumbe kisichokua na mfupa hata mmoja na ndio kiumbe pekee chenye jinsia mbili "Bisexual"
Yaani atakayewahi kumpanda mwenzake ndiye atakaye shika mimba.
Na ile speed yao naona ni adaptation ya kuweza kuzaliana. Wakati wote yuko tayari. Hao wanyama wanaitwa hermaphrodite.Konokono ni kiumbe kisichokua na mfupa hata mmoja na ndio kiumbe pekee chenye jinsia mbili "Bisexual"
Yaani atakayewahi kumpanda mwenzake ndiye atakaye shika mimba.
Yani sijaelewa.. Ni kwambaPapa anakua kwenye motion maisha yake yote,hawezi kusimama bila ku move.
Yaani Papa yeye hua yupo kwenye movement maisha yake yote.
Kwahiyo halali yani hapati usingizi huyu kiumbeYaani Papa yeye hua yupo kwenye movement maisha yake yote.
Haishiwi na nguvu za kiume?Kicheche ndio mnyama anayependa kufanya mapenzi (ngono) zaidi kuliko wanyama wote. Kwa siku hufanya tendo hilo angalau mara 60 ili kupata usingizi mwororo.
Sifa nyingine konokono hana machoKonokono ni kiumbe kisichokua na mfupa hata mmoja na ndio kiumbe pekee chenye jinsia mbili "Bisexual"
Yaani atakayewahi kumpanda mwenzake ndiye atakaye shika mimba.