Kwa wale waliosoma somo la Biology mtakumbuka ile topic ya coordination na kile kisa cha mtu kuona simba, ukiona simba mwili unapata nguvu ya ajabu kupambana na Simba, ama utapata nguvu ya kukimbia ama ya kupambana naye, hii ni kutokana na mwili wenyewe, wachache sana wanazimia.
Cha kushangaza ni katika tukio la uzinzi, ukifumaniwa nguvu huwa zinaisha kabisa kiasi kwamba unaweza ukapigwa na ama kufanyiwa mambo ya ajabu na ka mtu kadogo tu kasikokuwa na nguvu,
Cha kujiuliza kwa nini mwili hapa huwa haupati nguvu za kupambana maana hatari ya kufumaniwa huwa ni sawa kabisa na ile ya kukutana na Simba.
Kwa mtizamo wangu haya ni masuala ya Mungu kutaka kuwaazibu wazinzi.

ni kutokana na kitendo.. tendo la kukimbia simba ni la kishujaaa.... ila tendo la kufumaniwa ni la aibu
Hivi kwa nini kila swali/jambo ambalo mtu hana jibu sahihi huhitimisha kwa kumsingizia Mungu.
Mfano watu wanaamini UKIMWI ni mpango wa Mungu kuwaadhibu wazinzi.
Aliyemtangulia Zenawi alikuwa anawaaminisha kuwa njaa nchini Ethiopia ni mipango ya Mungu katika kubalance ekolojia.
Hivi kwa nini ukichoka kufikiri umsingizie Mungu?
Kabisa!.Kwa maana nyingine hizi imani ni chanzo cha watu kuwa wavivu wa kufikiri maana tayari kuna wakumsingizia unapokosa jibu sahihi la tatizo lako.Kwa sababu imani ya mtu (katika dini, ushirikina nk.),inaanzia pale uelewa/maarifa yanapoishia.
Wazinzi njooni mtoe ushuhuda hapa kama mpo