Maajabu ya Uumbaji,Mita Mbili Mpaka Chini Ardhini!

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Mtoto wa twiga anapozaliwa anadondokea ardhini mita mbili kutoka tumbo la mama yake lakini ajabu haumii! Miujiza ya Mungu ni mingi.

 
Na ndani ya muda mfupi anatembea na kwenda kinyonga maziwa ya mama yake !!!
 
ngoja waje wale wapinga MUNGU waanze kulopoka
yaan kuna vitu vingne ukifikilia tu lazima uamini tu kuna mjuzi aliyetukuka na wala si kazi ya kujibuni Na si mwingine ni MUNGU
hakika MUNGU MKUBWA
 
Kumbe anazaa akiwa kasimama....!!!
 
Kwa urefu waliokuwa nao, hata kujamiiana kwao ni maajabu ya Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…