unakuta daraja linajengwa kwa mabilioni ya pesa na waziri wa ujenzi yupo ila daraja ndani ya miaka isiyozidi 7 lishaanza matatizo kama ilivyo sasa daraja la ruvu.....

dah! Bongoz ni majangaz you know!..eti na wewe unajiita mwanaume mweh!!..shame on you 'mbebez'
Hadi utakapokua wewe... taabu unayo mwanaizaya..!
Duh! Kweli na wewe unajiita great thinker humu ndani? Daraja la Ruvu limeleta matatizo kwa ubovu wake au maji/mafuriko yanapita juu ya daraja, hivyo kwa usalama wa watu imezuiliwa mpaka maji yapungue?unakuta daraja linajengwa kwa mabilioni ya pesa na waziri wa ujenzi yupo ila daraja ndani ya miaka isiyozidi 7 lishaanza matatizo kama ilivyo sasa daraja la ruvu.....
Mwogope kama ukoma kiongozi afanyaye kazi kwa Tv.unakuta daraja linajengwa kwa
mabilioni ya pesa na waziri wa ujenzi yupo ila daraja ndani ya miaka
isiyozidi 7 lishaanza matatizo kama ilivyo sasa daraja la
ruvu.....
Hizi ndio hoja zinazotakiwa kujengwa humu, sio ushabiki kwa kila kitu.Nafikiri tutofautishe maafa na ubora wa madaraja.....nimesikia mtu mmoja mwenye Umri wa zaidi ya miaka 60 hivi akisema tangu azaliwe hajawahi ona hayo mafuriko enoe la ruvu alikozaliwa.
pia kinachotajwa ni daraja ila kiukweli, ni eneo kubwa several kms zilikuwa ndani wa maji.....
sijui kama uliona mafuriko yaliyotokea North England mwezi wa pili, madaraja mengi na makubwa yalizama ambapo inahesabika kuwa ni maapha na haihusiani na ubora........, bila kusahau, Thailand ambao kwao ni karibia kila mwaka wana maafa....
unakuta daraja linajengwa kwa mabilioni ya pesa na waziri wa ujenzi yupo ila daraja ndani ya miaka isiyozidi 7 lishaanza matatizo kama ilivyo sasa daraja la ruvu.....
Baba V, mi nilidhani huwa unasupport hoja za uhakika, hata daraja la Ruvu limekutoa nje? Duh! Unaniacha mdomo wazi. Hivi hiyo ten percent kapewa Mungu aliyeamua mvua zinyeshe, au ni ushabiki tu?Tatizo ni ten percent.