Embu wasituchoshe tushajua hili zoezi limekaa kinafiki na kisanii zaidi.
Bila hata wao kujieleza tulishajua hizi ni mbwembwe tu za kuwanyima watumishi haki zao.
Kwani Hata Mimi Naandikwa Kwenye Mitandao Ndiyo Nijuzuru Urais
Nasema Chapa Kazi Dar Ni Ya Makonda
Kasahau Maneno Yake Kuwa Wafanyakazi Hewa Nitalala Nao Mbele
Huu sasa ni usumbufu,watu walishakikiwa now uhakiki mwingine wa nini?Serikali ipandize waliohakikiwa vyeo sawa sheria ya utumishi.Hii sana inakuwa ni mbinu ya kuchelewesha haki za watumishi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.