Leo mtashuhudia maajabu ya serikali hii katika mji wa Dar es salaam
Maajabu yenyewe ni pale wanachama wa CUF wanaomuunga mkono LIPUMBA watakaporuhusiwa kufanya maandamano
Sasa mtajiuliza maandamano si yamepigwa marufuku mpaka matamasha ya mijadala mfano wa ACT umezuiwa na mikutano ya kisiasa pia iweje haya maandamano yaruhusiwe
Hapo ndo wanachama halisi wa CUF wanapaswa kujiuliza hawa watu wametumwa na nani? Kwanini wao wapewe ruhusa ya kufanya maandamano?
Hapa kazi tu