sungura1980 JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 1,909 Reaction score 1,225 May 4, 2014 #21 masai dada said: hhahhajahjah unaenda kwa docta anakupa capsos yenye senene Click to expand... Hivi huwa hamna dawa na nyie akina dada mnywe?Maana wadada wengine majanga,wametepeta,nguvu hamna!!!
masai dada said: hhahhajahjah unaenda kwa docta anakupa capsos yenye senene Click to expand... Hivi huwa hamna dawa na nyie akina dada mnywe?Maana wadada wengine majanga,wametepeta,nguvu hamna!!!
LILENDI JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 1,400 Reaction score 497 May 4, 2014 #22 Hata manyigu au nyuki (sio asali) husaidia kuondoa hilo tatizo
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,581 Reaction score 20,216 May 4, 2014 #23 sungura1980 said: Hivi huwa hamna dawa na nyie akina dada mnywe?Maana wadada wengine majanga,wametepeta,nguvu hamna!!! Click to expand... unataka ubebwe weyeee?? juu juu mpaka uteme mate dirishan?? unataka upepetwe weye???
sungura1980 said: Hivi huwa hamna dawa na nyie akina dada mnywe?Maana wadada wengine majanga,wametepeta,nguvu hamna!!! Click to expand... unataka ubebwe weyeee?? juu juu mpaka uteme mate dirishan?? unataka upepetwe weye???
sungura1980 JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 1,909 Reaction score 1,225 May 5, 2014 #24 masai dada said: unataka ubebwe weyeee?? juu juu mpaka uteme mate dirishan?? unataka upepetwe weye??? Click to expand... Ewaaaaaaaa!Sio kubebwa,bali tubebane,tupepetane.Kwa nini upande mmoja ulaumiwe tu ndio unahitaji dawa za kuongeza nguvu masai dada?? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
masai dada said: unataka ubebwe weyeee?? juu juu mpaka uteme mate dirishan?? unataka upepetwe weye??? Click to expand... Ewaaaaaaaa!Sio kubebwa,bali tubebane,tupepetane.Kwa nini upande mmoja ulaumiwe tu ndio unahitaji dawa za kuongeza nguvu masai dada??
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,453 Reaction score 10,059 May 5, 2014 #25 hata Ugoro unaongeza nguvu za kiume jamani...
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,914 Reaction score 55,906 May 5, 2014 #26 masai dada said: hhahhajahjah unaenda kwa docta anakupa capsos yenye senene Click to expand... wafanye hivyo kupunguza stress za wale wenye matatizo, kutwa kuchwa wanazunguka kutafuta miti shamba
masai dada said: hhahhajahjah unaenda kwa docta anakupa capsos yenye senene Click to expand... wafanye hivyo kupunguza stress za wale wenye matatizo, kutwa kuchwa wanazunguka kutafuta miti shamba
jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,783 May 7, 2014 #27 Nyati said: Angalia usije uwa watu bila kukusudia. Kuna jamaa aliambiwa dawa ni kunywa maji ya majivu na kweli alifanya hivyo! Click to expand... hahahahahaaaaaaa....loading error.....
Nyati said: Angalia usije uwa watu bila kukusudia. Kuna jamaa aliambiwa dawa ni kunywa maji ya majivu na kweli alifanya hivyo! Click to expand... hahahahahaaaaaaa....loading error.....
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 May 7, 2014 #28 Imekuwa bidhaa adimu sana