Maajabu ya Remote za StarTimes!

Maajabu ya Remote za StarTimes!

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,309
Reaction score
15,288
Nimeshangaa kidogo kuona Remote ya StarTimes inafanya kazi vizuri unapotumia kubadilisha Channels katika king'amuzi cha
1. Azam TV.
2. DSTV.

Lakini nimejaribu kutumia ile ya Azam kwenye ving'amuzi vinginevyo, imeshindikana kabisa.
...........….…....…………..............................!
 
Hivi inafanya hivi kwenye king'amuzi cha ZUKU....?
 
Nimeshangaa kidogo kuona Remote ya StarTimes inafanya kazi vizuri unapotumia kubadilisha Channels katika king'amuzi cha
1. Azam TV.
2. DSTV.

Lakini nimejaribu kutumia ile ya Azam kwenye ving'amuzi vinginevyo, imeshindikana kabisa.
...........….…....…………..............................!

Mkuu haya ndio madhara ya vitu ambavyo vipo below standard, decorder nyingi hapa tz ni below standard, hizi za startimes, continental, digitek, mediacom.. Sijui kuhusu hizi za dstv na vinginevyo.

Mimi mwenyewe hapa remote ya continental nikibonyeza OK, inazima deki ya dvd, pia ukitumia wakati unapunguza sauti ya TV remote ya TV au redio haifanyi kazi hadi nitakapoachia remote ya continental.

Pia kuna kipindi nilikuwa natumia TV tuner ya intex, na nilikuwa natumia taa ya kuchaji yenye remote, sasa kuna buttons za remote ya intex zilikuwa zinawasha na kuzima ile taa.
 
China product
 
...kimoja weka kabatini kingine dirishani
 
Nimeshangaa kidogo kuona Remote ya StarTimes inafanya kazi vizuri unapotumia kubadilisha Channels katika king'amuzi cha
1. Azam TV.
2. DSTV.

Lakini nimejaribu kutumia ile ya Azam kwenye ving'amuzi vinginevyo, imeshindikana kabisa.
...........….…....…………..............................!
Sio hivyo tu, hata kwenye deck za DVD Inatumika.
 
Mkuu haya ndio madhara ya vitu ambavyo vipo below standard, decorder nyingi hapa tz ni below standard, hizi za startimes, continental, digitek, mediacom.. Sijui kuhusu hizi za dstv na vinginevyo.

Mimi mwenyewe hapa remote ya continental nikibonyeza OK, inazima deki ya dvd, pia ukitumia wakati unapunguza sauti ya TV remote ya TV au redio haifanyi kazi hadi nitakapoachia remote ya continental.

Pia kuna kipindi nilikuwa natumia TV tuner ya intex, na nilikuwa natumia taa ya kuchaji yenye remote, sasa kuna buttons za remote ya intex zilikuwa zinawasha na kuzima ile taa.

Nimewahi kuwa na sub woofer na air cooler, siku moja nikachukua remote ya aircooler kupunguza kasi ya feni, sauti kwenye sub woofer ikapungua!!
 
Ni jambo ambalo hatukulifahamu wengi ila nadhani kiteknolojia itakuwa sio jambo la ajabu sana. Kama alivyosema mmoja wetu hapo juu, ni frequencies zimefanana, yaani unakuta frequencies za kupunguza sauti kwenye chombo A zimefanana na frequencies za kazi yoyote za chombo B hivyo remote control moja kuweza ku-operate zote.
Anyway, sijui kwa undani.
 
Haifai , Kama TV na deki plus decoder vyote vipo sehem moja inasababisha usumbufu .
 
Back
Top Bottom