Maajabu ya rais ajaye mh.Magufuli.

Maajabu ya rais ajaye mh.Magufuli.

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,253
Reaction score
1,475
KAMA NI KWELI huo ujumbe.
Hayati baba wa Taifa mh.Jk Nyerere aliwahi kusema "Hatutaki rais atakaeendesha nchi kwa kujadiliana na mkewe ndani halafu kesho anakuja kusema fanyeni hili au lile,Hapana.(siyo nukuu ya neno kwa neno samahani ni baadhi ya maneno ktk nukuu halisi)

Ukiangalia Nyerere alimaanisha awe ni rais mwenye maamuzi sahihi siyo ya mkewe au naswahuba.

Sasa kuna ujumbe huu chini ambao wanaCcm wanausambaza eti kuonesha kuwa magufuri hana uchu wa madaraka na hakuwa na mpango kwani hata Fomu ya urais alichukuliwa na mkewe.

Sasa tutafakari:

Je kama ni hivyo tutaongozwaje na mtu ambaye hakujiandaa? kutuongoza maana uongozi haushuki kama mana toka mbinguni

Je huyu si ataamuliwa na mkewe?maana ndiyo mwenye fomu ya uraisi.

Je kama fomu tu kachukuliwa na mkewe atashindwaje kuamrishwa na mkewe.

Je kama angejiandaa kuwa rais angeshindwa kutumia pesa kama wengine?

Soma sasa ujumbe wa wanaCCM hapa chini.

MAAJABU
Eti yadaiwa Gharama zilizotumika na baadhi ya watangaza nia CCM.

1. LOWASSA - Bilioni 154.7
2. MEMBE - Bilioni 79.8
3. NGELEJA Bilioni 58.6
4. JANUARI - Bilioni 45
5. KIGWANGALA - Bilioni 31
6. ASHA ROSE - Bilioni 15
7. WASSIRA - Bilioni 9.73
8. MWANDOSYA - Bilioni 6
9. YULE MKULIMA - Milioni 7
20. MAGUFULI - Milioni 1 tu ya kuchukua fomu, tena kalipiwa na mkewe (expected first lady)

Huyo ndiyo rais ajaye ambaye anaomba urais kwa niaba ya mkewe.

Je rais atakuwa nani yeye au mchukua fomu?
 
Achana na comedy za CCM, Lowassa akichangiwa na marafiki zake inawauma, akitumia hela zake inawauma. Halafu hapa wanajaribu kutuaminisha kuwa bwana pombe alitembea kwa miguu nchi nzima kusaka wadhamini. Eti hakununua hata karanga njiani, wakati tunajua kuwa naye alikuwa anakata mpunga mrefu wa laki moja kwa kila mdhamini huku maelfu wakienda kumdhamini Lowassa bure. Lowassa kipenzi cha watanzania
 
KAMA NI KWELI huo ujumbe.
Hayati baba wa Taifa mh.Jk Nyerere aliwahi kusema "Hatutaki rais atakaeendesha nchi kwa kujadiliana na mkewe ndani halafu kesho anakuja kusema fanyeni hili au lile,Hapana.(siyo nukuu ya neno kwa neno samahani ni baadhi ya maneno ktk nukuu halisi)

Ukiangalia Nyerere alimaanisha awe ni rais mwenye maamuzi sahihi siyo ya mkewe au naswahuba.

Sasa kuna ujumbe huu chini ambao wanaCcm wanausambaza eti kuonesha kuwa magufuri hana uchu wa madaraka na hakuwa na mpango kwani hata Fomu ya urais alichukuliwa na mkewe.

Sasa tutafakari:

Je kama ni hivyo tutaongozwaje na mtu ambaye hakujiandaa? kutuongoza maana uongozi haushuki kama mana toka mbinguni

Je huyu si ataamuliwa na mkewe?maana ndiyo mwenye fomu ya uraisi.

Je kama fomu tu kachukuliwa na mkewe atashindwaje kuamrishwa na mkewe.

Je kama angejiandaa kuwa rais angeshindwa kutumia pesa kama wengine?

Soma sasa ujumbe wa wanaCCM hapa chini.

MAAJABU
Eti yadaiwa Gharama zilizotumika na baadhi ya watangaza nia CCM.

1. LOWASSA - Bilioni 154.7
2. MEMBE - Bilioni 79.8
3. NGELEJA Bilioni 58.6
4. JANUARI - Bilioni 45
5. KIGWANGALA - Bilioni 31
6. ASHA ROSE - Bilioni 15
7. WASSIRA - Bilioni 9.73
8. MWANDOSYA - Bilioni 6
9. YULE MKULIMA - Milioni 7
20. MAGUFULI - Milioni 1 tu ya kuchukua fomu, tena kalipiwa na mkewe (expected first lady)

Huyo ndiyo rais ajaye ambaye anaomba urais kwa niaba ya mkewe.

Je rais atakuwa nani yeye au mchukua fomu?

Huyo makomeo atakuwa rais ajae kwa familia yako na ukoo wako,sie watanzania tumesha amua kumchagua mh Edward Ngoyai Lowasa kuwa rais wetu wa JMT
 
KAMA NI KWELI huo ujumbe.
Hayati baba wa Taifa mh.Jk Nyerere aliwahi kusema "Hatutaki rais atakaeendesha nchi kwa kujadiliana na mkewe ndani halafu kesho anakuja kusema fanyeni hili au lile,Hapana.(siyo nukuu ya neno kwa neno samahani ni baadhi ya maneno ktk nukuu halisi)

Ukiangalia Nyerere alimaanisha awe ni rais mwenye maamuzi sahihi siyo ya mkewe au naswahuba.

Sasa kuna ujumbe huu chini ambao wanaCcm wanausambaza eti kuonesha kuwa magufuri hana uchu wa madaraka na hakuwa na mpango kwani hata Fomu ya urais alichukuliwa na mkewe.

Sasa tutafakari:

Je kama ni hivyo tutaongozwaje na mtu ambaye hakujiandaa? kutuongoza maana uongozi haushuki kama mana toka mbinguni

Je huyu si ataamuliwa na mkewe?maana ndiyo mwenye fomu ya uraisi.

Je kama fomu tu kachukuliwa na mkewe atashindwaje kuamrishwa na mkewe.

Je kama angejiandaa kuwa rais angeshindwa kutumia pesa kama wengine?

Soma sasa ujumbe wa wanaCCM hapa chini.

MAAJABU
Eti yadaiwa Gharama zilizotumika na baadhi ya watangaza nia CCM.

1. LOWASSA - Bilioni 154.7
2. MEMBE - Bilioni 79.8
3. NGELEJA Bilioni 58.6
4. JANUARI - Bilioni 45
5. KIGWANGALA - Bilioni 31
6. ASHA ROSE - Bilioni 15
7. WASSIRA - Bilioni 9.73
8. MWANDOSYA - Bilioni 6
9. YULE MKULIMA - Milioni 7
20. MAGUFULI - Milioni 1 tu ya kuchukua fomu, tena kalipiwa na mkewe (expected first lady)

Huyo ndiyo rais ajaye ambaye anaomba urais kwa niaba ya mkewe.

Je rais atakuwa nani yeye au mchukua fomu?

Wote hapo juu ni mlungo DVS 6 kama ya nape.if lowasa have been speed 154.7 billion money to shilling in Dollar it's about 79.790.230 dollars so lowassa he the 22 richest man in Africa do let give him to be president of Tanzania ok

SWISSME
 
Yaonekana MAKUFULI ni mdhaifu sana kwa mkewe.

Lowassa ndiye rais hakuna namna,hata kwa machela tutampeleka magogoni.
 
Watu wanashindwa kuelewa wakati

ccm walishajichanganya kumkata mtu kutokana na chuki na wasiwasi waliokuwa nao kwamba akipata

urais atalipa kisasi sasa wanajuta

siku walipomteuwa magufuli na lowassa akanyamaza kimya walidhani basi mambo yamekuwa salama

kumbe lowassa ni kama sterring wa movie hafi maji sasa yamezidi unga
 
Nikikumbuka CCM walivyoshangilia pale Dodoma na mgombea wao katilia "Sitawaangusha" Wangalikuwa wameona kinachokuja mbele wangalijificha kabisa wala wasingeruhusu wanahabari maana mambo ya kutokea kweli yanatokea.
 
Nukuu za Nyerere za kuchagua tu? Je vipi hii ya: .....
MUOGOPENI KAMA UKOMA anyetaka kuingia Ikulu kwa gharama yeyote....?
 
Makomeo labda awe rais wa chato sio tanzania

Tena siyo Chato yote ni pale Lubambagwe kijijini kwake maana yake watanzania hatuwezi kumbebesha mzigo mzito wa kuwaongoza watanzania zaidi ya milioni 44 wakati hata milioni moja ya kuchukulia fomu ni shida kwake mpaka itolewe na mke wake.
 
Back
Top Bottom