Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,873
Wewe unahisi ni wapiSasa wewe kwa akili zako unadhani Misri ni Afrika?
Ok.
Mada nzuri nimeipenda
Umesoma historia vizuri chiefSasa wewe kwa akili zako unadhani Misri ni Afrika?
Ok.
Mada nzuri nimeipenda
Hilo jitu ni shamba la wazungu.. linajichukia kwanini limezaliwa afrikaWewe unahisi ni wapi
Kwa mujibu wa mapokeo tuliopokea kutoka kwa wazungu waisrael walikuwa ni vibarua wakitumikishwa kazi mainjinia wenyewe walikuwa ni wamisriPyramid zilijengwa na waafrika au walijenga waisraeli?
Pyramid zilijengwa na waisrael wakati walipokuwa utumwani Misri miaka miaka mingi iliyopita BC mi ndo nafahamu hvyo.
Hotep......PYRAMID linalopatikana Misri lilikua ndio jengo refu zaidi lililojengwa na mwanadamu miaka 4000 iliyopita .Mojawapo ya pyramid refu zaidi huko Misri (Egypt) lina urefu wa futi 481 sawa na jengo lenye ghorofa 48.Lina uzito wa tani million 14.5,limechukua eneo la mraba hekari 13 sawa na viwanja kumi vya mpira wa miguu.Inaaminika kua lilianza kujengwa mnamo 2540BC na kumalizika miaka 23 baadae.
Pyramid zilijengwa na waafrika au walijenga waisraeli?
Pyramid zilijengwa na waisrael wakati walipokuwa utumwani Misri miaka miaka mingi iliyopita BC mi ndo nafahamu hvyo.
wewe unadhani misri ni wapi mkuu?Sasa wewe kwa akili zako unadhani Misri ni Afrika?
Ok.
Mada nzuri nimeipenda
Wala cjakataa kuwa m n mjinga ndo maana nikaamua kusema kile nachofahamu hapo kuna kitu nimejifunza ambacho nilkuwa cfahamu, usijerudia kumuita mtu mpumbavu kama hujamfundisha, huyo unaemuita mpumbavu akifundshika hawez kuwa mpumbvkuna lijinga limesema piramid walijengwa waisrael, guu ni ujinga na upumbv, maana hizo zmejengwa hata kabla hao waisrael wenu feki hawajakwenda uko misri, pia ktk historia dunia nzma hakuna utumwa wa muisrael nchin misri, zadi stor hizo unapata ktk biblia, biblia yenyewe imeshindwa kueleza ule utumwa ukikuwaje, yaan inajipinga yenyewe, anaebisha na abishee ila ukwel hakuna utumwa wa muisrarl misri, zaid ya propaganda kutengenezwa ili muafriak achukiwe, kama ujuavyo mafarao wote walkuwa watu weus, wamisri walkuwa weusi yaan waafrka, ayo majizi ya kiarabu yameamia juzi tuu baada ya dora kuangushwa kwa husda na wivu wa mtu mweupe, pyramid zile zlkuwa na kazi kubwa ma yakutisha, lkn wazungu wansema et pyramid ilkuwa kwaajil ya maziko kumbe ni zaid ya hayo, kuna shahdi nying sana, haya mambo kuyajadil unatakiwa usibase kwenye mahaba ya dini wala chuki zakininga, Afrika ndyo mama wa dunia na mjue tu kuwa mapyramid hayapo misri tu bal mpka sudani, sudan yako mengi kulko misri, lkn misri ndpo yapo makubwa kulko ya sudan,...kazi moja wapo ya pyramid ilkuwa ni kufungua mlango na kuingia ktk dimension ya pepo(mbingu) na hata ule mnara wa babel ulijengwa kwa stail ya pyramid na ulkuwa ni pyramid iliyojengwa hapa hapa afrika, mambo n meng muda mchacheView attachment 1837942