The Whistleblower
JF-Expert Member
- Dec 9, 2022
- 269
- 459
Mmelaaniwa mbwa nyie.....!Tumekukosea nini? [emoji23][emoji23]
Mmelaaniwa mbwa nyie.....!Tumekukosea nini? [emoji23][emoji23]
Mimi huwa nawaombea waanguke kwenye ndege, yaani huwa natamani siku moja Bunge la Tanzania utokee moto ghafla yafe yote mambwa hayainafsi sijawahi kuombea viongozi wa africa isee kuwaombea tu enyewe unaweza kupata dhambi.
CCM haipo huko?Iceland ni Nchi ambayo ni Kisiwa kinachopatikana kaskazini mwa Dunia katikati ya Bahari mbili za Antarctic na Arctic. Mji wake Mkuu ni Reykjavik.
Nchi hii ina idadi ya watu wanaofikia 332,529 kwa takwimu za hivi Karibuni. Ni Nchi iliyokuwa koloni la Denmark Hadi tarehe 1/desemba/1918.
Nchi hii ina sifa adhimu zifuatazo:-
✓ Elimu na huduma za afya ni Bure.
✓ Hakuna magereza.
✓ Hakuna Jeshi. Ila ni mwanachama wa jumuiya za kijeshi za kimataifa kama NATO na OCSE
✓ Umeme ni Bure
✓ Watu Wala hawafungii magari ndani na hata nyumba zao Huwa hawalazimiki kuzifunga.
✓ Ndio Nchi pekee Duniani ambayo watu wake hupiga kura kwa mtandao (on-line).
View attachment 3016544
Kuna Muiceland nimemuambia huku tuna madini ya kila aina na vivutio vya utalii vya kutosha pamoja na rasilimali za kufa Mmachame ila huduma za kijamii na elimu zote tunalipia. Huwezi amini amenijibu kama ulichoandika wewe hapo haiwezekani uwe na vitu vyote hivyo na bado unalipia kila kitu.Huo ni uongo nguvu kazi ni watu, ushuru kwa watu laki tatu then elimu umeme huduma za afya iwe bure na bado serikali ilipe wafanyakazi
Ahhhh tusamehe mkuu!Mmelaaniwa mbwa nyie.....!
Akili zako hazitumiki sawasawa! Fikiria tena.Huo ni uongo nguvu kazi ni watu, ushuru kwa watu laki tatu then elimu umeme huduma za afya iwe bure na bado serikali ilipe wafanyakazi
Mkuu hakuna kitu kama icho maarifa yanapambana kulipa madeni na kupaa kiuchumi iwe Russia,China,USA na nchi zingine huwezi kuta hayo mambo yote yakawa bure kwa kila mtu na kwa lika zoteAkili zako hazitumiki sawasawa! Fikiria tena.
Ni kweli Iceland wanachimba mafuta. Revenue inayopatikana hapo ndo inatumika kwenye kutoa huduma bure.Huo ni uongo nguvu kazi ni watu, ushuru kwa watu laki tatu then elimu umeme huduma za afya iwe bure na bado serikali ilipe wafanyakazi