James88
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,700
- 1,754
Je isingetokea ajali hiyo... hayo mawodi yasingejengwa???? Naomba unijibu hili swali...Jamani; hebu tuone nia njema ya uongozi wetu. Watu wamefiwa, wakapewa usaidizi wote wa gharama ya mazishi. Halafu bado 1mli. Ulitaka nini tena?? Ulitaka kila mtu apewe 50mil?? Nadhani serekali imefanya vyema kujenga hizo wodi. Kwani hazitaisha kwa mwaka bali zitakaa miaka huku zikisaidia wengi.
Wazo langu; Serekali iwakumbuke watoto walio achwa na wazazi/mzazi haswa kwenye elimu yao tu. Huko nako ni matumizi mazuri ya hiyo fedha.