Maajabu ya Mungu

watoto wanaotakiwa kutolewa mzazi mmoja akakataa wanakuwa bright sana sijui kwanini, my daughter is one of them nlikataa kutoa mimba but now kila wakati namuambia mungu asante anafanya mambo systematic hadi raha
 
Aisee yaani mkuu mwaj waukweli shemeji ndo alitaka utoe mimba!? Hakufikiria km unaweza kupoteza maisha kwa kufanya hivyoo!!?
 
Last edited by a moderator:
Aisee yaani mkuu mwaj waukweli shemeji ndo alitaka utoe mimba!? Hakufikiria km unaweza kupoteza maisha kwa kufanya hivyoo!!?

mkuu dunia ina mambo, wewe' usiseme shemeji hayuko kwenye system tena. huwa nikiwa naumwa ananipa chakula chake " mama kula tamuu kesho uende kazini" nafarijika sana
 
Last edited by a moderator:
Mfungulie akaunti;
Waonyeshe wenzie wote, waambie wakifanya kama yeye na wao utawafungulia, japo unaweza wafungulia hata hao wengine kwa siri.
 
Hongera sana na zidi kumuomba M/Mungu akufungulie zaidi zaidi na vilevile unaweza ukamuuliza anapenda umzawadie nini?Maana watoto wanaweza wakapenda kitu ambacho wew hujafikiria,na endelea kumtunza vema
 
mkuu dunia ina mambo, wewe' usiseme shemeji hayuko kwenye system tena. huwa nikiwa naumwa ananipa chakula chake " mama kula tamuu kesho uende kazini" nafarijika sana
Yeah,ni kweli mkuu. Lkn wala usijal mkuu,Mungu alikuwa na makusudi kutufanya binadamu tuwe na hizi tofauti unazoziona ili Dunia iwe km ilivyo..!
 
Mfungulie akaunti;
Waonyeshe wenzie wote, waambie wakifanya kama yeye na wao utawafungulia, japo unaweza wafungulia hata hao wengine kwa siri.
Mkuu Mamndenyi zawadi nimemnunulia baiskeli km wadau wengi walivyoshauri hapa. Pia nilimnunulia jezi za simba juu na chini. Vifaa vya shule nikanunua vya watoto wote. Kuhusu kuwafungulia acc.watoto wote niliwafungulia acc.mwaka 2013,sema nilikuwa siziwekei pesa mara kwa mara. Kwa maoni haya ntajitahidi sana kuhakikisha naziimarisha!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…