Maajabu ya Mungu: Mke wa kwanza alimzalia mtoto albino, mke wa pili akamzalia pia mtoto albino

Kwa jina la salamu natumai hamjambo

Wakuu kweli Mungu ni wa ajabu sana, kuna ndugu yangu mmoja alimfukuza mkewe kisa kamzalia mtoto albino akidai katika ukoo hawapo hivyo atakua alichepuka.

Akaoa mke mwingine but cha ajabu naye kamzalia albino yaani sasa hivi ana mwezi yupo ndani analia tu.

Wakuu Mungu hadhihakiwi hivyo turidhike na atupacho, na wenye tabia ya kuwadharau watu kisa wana mapungufu fulani tuache coz hujafa hujaumbika hivyo Mungu anaweza kuwaleta katika kizazi chako unaowacheka na kuwadharau
Kwan arbino sio binadamu ni ushamba tu

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ni swala la genes tu, kwamba pair zote mbili wamejikuta wanarelease kitu kinachofanana.

Sijajua jamaa kumfukuza mke wa kwanza, na tukio la kupata tena albino vinahusiana vipi na Mungu.
mkuu wana sayansi wasikusahaulise ukuu wa mungu
 
Hiyo ni sayansi ya genetics, si maajabu ya Mungu.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Hiyo ni sayqnsi ya genetics, si maajabu ya Mungu.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
huyo mwanasayansi mwenyewe haijui hatma yake then ndo umuamini kua ndo mjuz wa kila kitu

kuna watu wamezaa vipofu/bubu/viziwi/vilema coz waliwahi kuwadhihaki je nao utasingizia genes? tafakari na uchukue hatua mungu ni mkubwa kuliko wana sayansi
 
Kwa jina la salamu natumai hamjambo

Wakuu kweli Mungu ni wa ajabu sana, kuna ndugu yangu mmoja alimfukuza mkewe kisa kamzalia mtoto albino akidai katika ukoo hawapo hivyo atakua alichepuka.

Akaoa mke mwingine but cha ajabu naye kamzalia albino yaani sasa hivi ana mwezi yupo ndani analia tu.

Wakuu Mungu hadhihakiwi hivyo turidhike na atupacho, na wenye tabia ya kuwadharau watu kisa wana mapungufu fulani tuache coz hujafa hujaumbika hivyo Mungu anaweza kuwaleta katika kizazi chako unaowacheka na kuwadharau
Hapo ndio ataelewa nini maana ya Bwana Mungu wa Majeshi. Mpe salamu za Wana JF Baba wawili
 
huyo mwanasayansi mwenyewe haijui hatma yake then ndo umuamini kua ndo mjuz wa kila kitu

kuna watu wamezaa vipofu/bubu/viziwi/vilema coz waliwahi kuwadhihaki je nao utasingizia genes? tafakari na uchukue hatua mungu ni mkubwa kuliko wana sayansi
Kwani wapi nimesema Mwanasayansi anajua kila kitu?

Nimekwambia, kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.

Hujathibitisha.
 
Inawezekana pia mbegu zake zina mutation kwenye hiyo gene ndo maana inakuwa hivyo.
 
Autosomal Mendelian Traits in Humans
Not many human autosomal traits are controlled by a single gene with two alleles, but they are a good starting point for understanding human heredity. As discussed in the beginning of this concept, most forms of albinism in humans have a Mendelian inheritance pattern. Albinism is usually controlled by a single autosomal gene with two alleles. The allele for normal pigmentation (let's call it R) is dominant to the allele for albinism (r). Individuals with either an RR or Rr genotype will not have albinism, because the R allele is dominant over the recessive r allele.

However, consider what happens if two individuals with the Rr genotype reproduce with each other. The outcome would be similar to the example shown in the Punnett square above for two hypothetical Aa individuals. Their possible offspring could be RR (normal pigmentation), Rr (normal pigmentation), or rr (albinism). This explains why a child with albinism (rr), can have two parents that do not have albinism. Both unaffected parents must be a carrier of the recessive r allele, but they also have a dominant R allele that prevents them from having the condition themselves.

View attachment 1474930

Hii ni bahati mbaya sana kuwa wanawake woote walikuwa na defective gene! Inawezekana kabisa!

Na huyo mwanaume ana gene ya Rr bila kupepesa macho.
 
Hapo ni swala la genes tu, kwamba pair zote mbili wamejikuta wanarelease kitu kinachofanana.

Sijajua jamaa kumfukuza mke wa kwanza, na tukio la kupata tena albino vinahusiana vipi na Mungu.

Wewe jamaa una low reasoning kweli.

Kujua mechanism za kisayansi kuwa albino anapatikanaje haimaanishi kuwa hilo jambo halijasababishwa na Mungu, hizo mechanism ni kisababishi tu ila yote anaamua Mungu.
 
Jamaa uko na vinasaba vya albinism, katika Gens zake hiyo uwezekano wa kumpata mtoto huyo ni Jambo la kawaida sna.

Albinism sio ungonjwa jamani nao Ni binadamu Kama sisi na shughuli zao zinaenda Kama kawaida. Hivi ile jamaa inayopuliza vuvuzera pale msimbazi iko na sifa hii au sio lakini maisha yaenda vizuri tu .

Mwambie alee watoto aache umende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom