Maajabu ya mmea huu

Huo ni Mzungwa/Mpatakuva/Tetradenia Riparia/Ginger Bush na majina mengine mengi,

Ni Dawa nzuri sana ya Chango, Malaria, Jino, Kutapika na Magonjwa yote ya Tumbo.

Majani yanatofautiana muonekano kulingana na sehemu iliyoota, yakikomaa na kustawi vizuri hutoa maua yakuvutia,

Ni machungu sana na uchungu huzidiana kulingana na rutuba ya eneo lilipoota, kama hakuna rutuba nzuri huzidi kua machungu,

Wengi hupanda kama bustani ya kupendezesha nyumba.

 
Sijajua jina lake ila kuna la kuweka kwenye supu na lile la corona, na hilo sasa ambalo huwa na majani mazito kuliko hayo mawili, yanafanana sana#
Ndio waeleweshwa sasa,
Hilo jani ulilopost ni common sana, hakuna cha kufanana na Corona wala Malaria wala mazito wala manene huo ni Mzungwa,

Mwengine huo
 
Yesiiiii ndo hilo hilo mkuu , nmetumia vidonda ambavyo vimenitesa kwa mda vimekwisha
 
Mkuu kabla Bibi yako hajakuotesha hata humu Jf limezingumziwa sana kwenye nyuzi za vidonda vya tumbo.
Nashukuru kwa kunifahamisha , kuzungumziwa sio tatzo point yangu apo imeniponyesha, pia hili linaweza kuchagiza uzingativu wamatumizi.
 
Wakati mwingine ukitulia akili na kuifuatulia ndoto unaweza kupata hazina iliyofichwa, Mali, Dawa, au Pesa.
Mimi Kuna ndoto nilikuwa naota natumwa niende sehemu flani, anayenituma alikuwa Babu. Ilinitesa sana Ile ndoto Hadi siku nikaamua kuifuata Yale maelekezo mchana!
Cha ajabu nilipata kitu Cha thamani sana na ndoto Ile kupotea mazima!!
Angalizo:ndoto ni utajili, ndoto ni Mali , ndoto ni uchawi, ndoto ni maono! Inategemea umeota au kuoteshwa Nini!!
 
Kwaiyo mkuu umegeuka mbuzi kwa mwezi mzima sasa

Na umeelekezwa na mzimu siyo?
 
Yah ni kweli kabsa ila sio kwa kila mtu , coz wengi hawawezi kuelewa hii kitu kwasababu wengi wanamaangaiko ya kimwili tu
 
Mtu wa Mungu,hujasema haya majani unayatafuna au unayatwanga na kuyaloweka kwenye maji then unakunywa? Hebu elekeza vizuri kidogo uliyatumiaje
 
Mtu wa Mungu,hujasema haya majani unayatafuna au unayatwanga na kuyaloweka kwenye maji then unakunywa? Hebu elekeza vizuri kidogo uliyatumiaje
Mimi nilikua natafuna majani matatu mpka matano asubuhi na jioni kwa mda wa mwezi mmoja vidonda kwisha, pia nmegundua na mjegeje unapiga kazi balaa na unatema sumu umbali wa nusu mita tofauti na zaman.
 
Hongera
 
Mimi nilikua natafuna majani matatu mpka matano asubuhi na jioni kwa mda wa mwezi mmoja vidonda kwisha, pia nmegundua na mjegeje unapiga kazi balaa na unatema sumu umbali wa nusu mita tofauti na zaman.
Hapo kwenye bold ni mmea gani? sumu gani hiyo na kutka wapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…