chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,220 May 29, 2021 #1 1) Mende anaweza kuishi kwa wiki nzima bila ya kuwa na kichwa 2) Mende anaweza akazuia pumzi zake kwa dakika 40 bila ya kufa 3) Mende anaweza kutembea zaidi ya maili 3 ndani ya saa moja 4) Ina aminika kuwa Mende alikuwepo tokea miaka milion 280 iliyopita 5) Kuna zaidi ya aina 4,000 za mende duniani 6) Mende anaweza kuishi mwezi 1 bila kula ila hawezi kuishi zaidi ya wiki bila kunywa maji 7) baadhi ya mende wanaweza kufanya mapenzi mara moja tu, lakini akawa na mimba maisha yake yote 8) Mende wanapenda sana bia 9) vipi kuhusu kifo cha mende?
1) Mende anaweza kuishi kwa wiki nzima bila ya kuwa na kichwa 2) Mende anaweza akazuia pumzi zake kwa dakika 40 bila ya kufa 3) Mende anaweza kutembea zaidi ya maili 3 ndani ya saa moja 4) Ina aminika kuwa Mende alikuwepo tokea miaka milion 280 iliyopita 5) Kuna zaidi ya aina 4,000 za mende duniani 6) Mende anaweza kuishi mwezi 1 bila kula ila hawezi kuishi zaidi ya wiki bila kunywa maji 7) baadhi ya mende wanaweza kufanya mapenzi mara moja tu, lakini akawa na mimba maisha yake yote 8) Mende wanapenda sana bia 9) vipi kuhusu kifo cha mende?
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 May 29, 2021 #2 10. Maajabu yake mengine ukimtafuna kwa bahati mbaya kwenye chakula lazima ujue.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 May 29, 2021 #3 Ndiye kiumbe anayechukiwa kuliko wote, akifatiwa na kunguni, halafu nzi.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,563 May 29, 2021 #4 Ndiye mdudu ambaye akilala chali hawezi kuamka
Kirokonya JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 2,280 Reaction score 7,557 May 29, 2021 #5 Mwifwa said: Ndiye mdudu ambaye akilala chali hawezi kuamka Click to expand... Hiyo namba nane ni kali.
Mwifwa said: Ndiye mdudu ambaye akilala chali hawezi kuamka Click to expand... Hiyo namba nane ni kali.
B bievinii JF-Expert Member Joined May 12, 2021 Posts 712 Reaction score 737 May 29, 2021 #6 Mende Kama mende
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,319 Reaction score 13,242 May 29, 2021 #7 Mende ni dawa..na ni chakula kwa wachina
J Jibala JF-Expert Member Joined Jun 13, 2010 Posts 641 Reaction score 613 May 29, 2021 #8 Mende kiboko ya wanawake baadhi yao wanamuogopa kiyama.
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,011 Reaction score 14,334 May 29, 2021 #9 pia anaitwa komba mwiko
S Socw JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 1,385 Reaction score 2,847 May 29, 2021 #10 Hiyo namba 8 umedanganya....mbona mimi sipendi bia.
yutu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 1,778 Reaction score 1,222 May 29, 2021 #11 Najiuliza tu mdudu mende anaweza kukoment mende msafi said: Hiyo namba 8 umedanganya....mbona mimi sipendi bia. Click to expand...
Najiuliza tu mdudu mende anaweza kukoment mende msafi said: Hiyo namba 8 umedanganya....mbona mimi sipendi bia. Click to expand...
BarajaMkush JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 1,633 Reaction score 2,983 May 29, 2021 #12 Ndiye mdudu pekee ambaye huhisiwa pindi unywapo maji kitu kikakugusa mdomon na kuhis ni yeye
B bievinii JF-Expert Member Joined May 12, 2021 Posts 712 Reaction score 737 May 29, 2021 #13 Mtukutu wa Nyaigela said: pia anaitwa komba mwiko Click to expand... Uongoooo membe na kombamwiko Ni tofauti
Mtukutu wa Nyaigela said: pia anaitwa komba mwiko Click to expand... Uongoooo membe na kombamwiko Ni tofauti
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,080 Reaction score 165,198 May 29, 2021 #14 Katika wadudu nisiowapenda.... Wa kwanza mende wa pili jongoo siyapendiii
Mkongwee JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 881 Reaction score 1,940 May 29, 2021 #15 ndo Mdudu mwenye mwenye mlalo maaarufu mnooo kwa wapendanaoo
ID Fake JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 503 Reaction score 777 May 29, 2021 #16 bievinii said: Uongoooo membe na kombamwiko Ni tofauti Click to expand... Kasema mende, siyo membe!
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,567 Reaction score 12,206 May 29, 2021 #17 Kuna siku niliiacha redbull usiku sikuimaliza,alfajiri nikaanza nayo baada ya usingizi kukata.Nilibugia bonge la mende akiwa mzima. Huo mtiti utafikiri nilimezeshwa guruneti.😁😀
Kuna siku niliiacha redbull usiku sikuimaliza,alfajiri nikaanza nayo baada ya usingizi kukata.Nilibugia bonge la mende akiwa mzima. Huo mtiti utafikiri nilimezeshwa guruneti.😁😀
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 43,912 Reaction score 104,035 May 29, 2021 #18 Ndiye mdudu pekee anayeogopwa na wanaume wa Dar kuliko simba
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,312 Reaction score 109,408 May 29, 2021 #19 Ulishawahi tembewa na mende mgongoni?
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,312 Reaction score 109,408 May 29, 2021 #20 Kifimboplayer said: Najiuliza tu mdudu mende anaweza kukoment Click to expand... Mende Ni mdudu pekee mwenye app ya jf
Kifimboplayer said: Najiuliza tu mdudu mende anaweza kukoment Click to expand... Mende Ni mdudu pekee mwenye app ya jf