Maajabu ya mdudu mende

Kinachoenziwa na wanadamu ni kifo chake tu.
Karibia kila siku tunafanya birthday party ya kifo chake tena kwa matendo.
 
Line ya mwisho
 
Kwenye matibabu TU hapo ndio nimehisi kinyaa cha ajabu sana
 
Kwa nini nyinyi kinadada na kinamama mnamwogopa sana mende? Au mnamwona kwa jicho tofauti na sisi wanaume?
 
huyu mpuuzi ndo kafanya wanaume wanaogongana wenyewe kwa wenyewe waitane mamende
 
Niliwahi kusikia eti wanaliwa hao.sijui kuna ukweli hapo au propaganda za bina Adam?
 
¡Tupo Pamoja wakuu!
Siku iz ad puchu ni kfo cha mende
No way😎😎
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…