moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Nice quoteKupewa akili ni kitu cha kawaida ila kutotumia akili ulizopewa ni kitu cha kushangaza.
Shida hujui hata neno la Mungu! Endelea kuhukumu Walokole tu! Kila mchungaji unamuiita Mlokole! Usihukumu ndugu yangu! Yesu mwenyewe alisema watakuja kutokea manabii waongo, sasa wewe unashangaa nini na unakuja kukurupuka kuwahukumu walokole wote! Hayo makanisa mengi wote ni wasafi? Soma sana neno la Mungu ndugu! Na umuombe Roho Mtakatifu akupe macho ya rohoni! Sio unaona baadhi ya wachungaji wanafanya mambo ya ovyo, halafu unakuja kiujumla kuwahukumu wengine!Makanisa ya kilokole ni vichaka vya wahuni...mbona hatusikii haya mambo .
Lutheran ..Moravian..Roma ..angrikana..na kadhalika..
Hapana, huyo atakuwa ni roho mtakafujo...Kama Ni Roho mtakatifu basi hatuna la kuongea.
Roho mtakafujo...Ni Roho Mtakatifu au roho mtaka tifu?