barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
vichwa maji wengi kweli, hivi na wewe unaamini kuwa aliposema hivyo alikuwa anamaanisha KIUKWELI kabisa kuwa ndo idadi kamili ya samaki waliopo??Unakuwa Waziri wa Uvuvi miaka 5,unajua idadi ya samaki wakubwa na wadogo, urefu wa ukanda wa maji, eneo la maji yaliyotuzunguka, unasahau kuwa hakuna kiwanda cha samaki hata kimoja Nchi nzima.
Unakumbuka hilo ukiwa Waziri wa Ujenzi. Maajabu ya siasa.
#OnlyinTanzania chini ya CCM.