Maajabu ya Magufuli

Maajabu ya Magufuli

Mgodo Mgodoki

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
1,399
Reaction score
1,368
Unakuwa Waziri wa Uvuvi miaka 5,unajua idadi ya samaki wakubwa na wadogo, urefu wa ukanda wa maji, eneo la maji yaliyotuzunguka, unasahau kuwa hakuna kiwanda cha samaki hata kimoja Nchi nzima.

Unakumbuka hilo ukiwa Waziri wa Ujenzi. Maajabu ya siasa.

#OnlyinTanzania chini ya CCM.
 
Hao na mgombewa mwenza nadhan wanafanya siasa za kukarr, kuna vitu wanasema hadi unashindwa kuelewa kama wako saws au lah
 
Teh teh laptop kwa kila Mwl Nchi nzima na 50ml kwa kila kijiji. Hivi yale mabilioni ya mkwere pamoja na zile za EPA na chenji ya RADAR yaliishia wapi?
 
Ccm Ni tetenasi, aka kimbunga, aka,kipindu pindu,
 
Ivi kati ya kilanja na mwalim ni nan mwenye mamlaka shuleni? Magufuri alikuwa kama kiranja tena wachin sana kwenye secta ya uwazr uvuvi na ujenze na kilanja mkuu alikuwa lowasa sasa nashangaa sjui tulipata mafanikio gan pind lowasa ikiwa kilanja mkuu lakn mashabiki msokuwa na uelewa mnalopoka tu maguful,maguful je huyo ndugu yenu lowasa vip?
 
Acha ushabiki jaribu kukumbuka utendaji wa serikali ya jk akiwa el na alipoingia piinda ndio utajua uwaziri mkuu wake ulikuwa wa thamani IPI!?
 
Idadi ya samaki ana ijua matatizo ya wananchi hayajui.
 
tatizo wana copy na kupaste,inabidi wajipange upya ahadi za makufuli jujenga flyover dsm ni kila mwaka wa bajeti uliongelea,nikashangaa tena jangwani analiongelea,unamdanganya mtu mpaka anakushtukia
 
Ivi kati ya kilanja na mwalim ni nan mwenye mamlaka shuleni? Magufuri alikuwa kama kiranja tena wachin sana kwenye secta ya uwazr uvuvi na ujenze na kilanja mkuu alikuwa lowasa sasa nashangaa sjui tulipata mafanikio gan pind lowasa ikiwa kilanja mkuu lakn mashabiki msokuwa na uelewa mnalopoka tu maguful,maguful je huyo ndugu yenu lowasa vip?

kiswahili cha wap hicho bob
 
Huyu ni kati ya viongozi wachache wenye maajabu duniani...yaani anafikiri sisi watanzania ni.mambulula wa kudanganywa hovyo. HATUDANGANYIKI HATA KWA AHADI HEWA KUTOKA KWA WAGOMBEA WA CCM.
 
Kwani yeye alikua waziri wa viwanda???

Hahaha! Kukosa elimu buana. Unadhani waziri akiwa wa uvuvi hapaswi kujua kama kuna viwanda vya kusindika samaki? Unadhani wizara kila moja inapaswa kujifanyia ya kwake? Km ndio utendaji kazi wa mawaziri wa ccm basi ndio maana tunasema mpishe. Institutional vacuum au gap ni tatizo kubwa sana katika uendesgaji wa serikali. Yaani hakuna coirdination kati ya wizara moja na nyingine. Eti waziri wa uvuvi asijue kwamba anawajibika kushirikiana na wizara ya viwanda kwa ajili ya kujenga viwanda vya kusindika samaki?
 
wagombea wa ccm ni shida. Naishangaa mipenzi ya lichama hilo. inaimbia wimbo ccm ni ile ile nayo inaitikia kwa furaha, alafu wanadanganyana wataka kufanya mageuzi yatoke wapi??? Baba lao lilikuja na mabilioni ya kikwete, yakaishia kikwao, leo makufuli yanakuja na milioni 50 kila kijiji nao wanaitikia, shiida
 
Kilaza toka chato, kawawekea na wasukuma mikokokumi taa za barabarani
 
Back
Top Bottom