Piga kazi ndg. Rais, kusafirisafiri hovyohovyo ni dalili mojawapo ya uzembe na ufujaji wa pesa ya umma pasi na sababu za msingi. Mwenye shida na wewe atoke huko aliko aje magogoni. na hiyo itaongeza heshima kwetu na kujiamini zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.